Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
^^
Ni kweli kuwa mwanzoni mwa ndoa kila mwenzi hutamani ampakate muda wote mpenzi wake,,ambusu ambebe ambembeleze na asichelewe kufika chumbani.Wawili hawa hupitia wakati mzuri kupita wakati wowote ule katika safari ya ndoa.Ndio wakati ambao waliopo katika uchumba huwa hadi na ndoto za mchana wakiuwazia na kuombea tarehe zizidi kufika wakafaidi.Naam ni wakati bora kabisa
....
Hata hivyo hisia za wanandoa hazikai katika hali moja,,kuna wakati hazijielewi na hufika hatua wanandoa kwa kujua au kutojua kwa kupenda au kutopenda hujikuta kila mmoja ana kitanda chake kama si kugawana vyumba kabisa !!
Watu wengi wanalitazama suala la wanandoa kuwa na vitanda viwili ni tatizo kubwa na wale ambao hawajaingia katika taasisi hii huku uchumba wao umekolea wanaona haliwezekani Lakini lipo na linakua kwa kasi
....
Watafiti huko marekani wa National Sleep Foundation wanasema kwamba "..25% of U.S couples sleep separately and about 60% of custom built homes include dual master bedrooms.."
Pia Reyson University in Toronto wanasema "..about 30% - 40% couples in the world sleep separately.."
Kwa afrika sijapata tafiti za kutosha japo through hypothesis tatizo laweza kuwa kubwa pia.
....
Pamoja na yote hayo zipo faida za kila mwanandoa kulala kitanda chake hasa pale ambapo uamuzi huo wa vitanda viwili hauepukiki.Chache ni hizi.
1.HUNUFAISHA USINGIZI
Wanasaikolojia wanakubali kuwa usingizi una faida sana kwa mwanadamu na wanandoa wanapotengana kitandani mengi wanayakosa Lakini wakiwa mbalimbali huwasaidia kutimiza hatua zote za usingizi pasipo mishituko ya mara kwa mara
....
2 HUZOROTESHA AU KUONDOA UWEZEKANO WA TALAKA
Mwanamama mmoja aitwaye Risa amenukuliwa ktk televisheni moja akisema amelala vyumba tofauti na mumewe kwa miaka 14 lakini hakupewa talaka badala yake upendo ulirejea tena
....
3 HUDUMISHA UVUMILIVU KWA WAISHIO MBALI
Kuna wanandoa ambao hawaishiwi safari za kiofisi kama semina,makongamano,kampeni au biashara..uzoefu huu huwapa wanandoa ustahimilivu tendo la ndoa
....
4 HUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA
Mwanasaikolojia Reykan anabainisha kuwa "..sleeping in separate rooms can lead to great desire for sex.." Kwani wanandoa humisiana,huhitajiana na wakutanapo tena hufanya tendo hilo kwa nguvu hamasa na ufundi.
....
ONYO
USILAZIMISHE NDOA YAKO IFIKE HATUA HII KWA SABABU ZAKO UNAZOZIJUA IKIBIDI IEPUKWE