Hii ni taarifa, muhtasari au???
Ni nini, sijaelewa jamani, aliyeelewa please!
Sijaelewa hadithi au
Mkwaruzo hebu tupe maana nzima ya hii maana hapo ulipogegedana na cousin wako uliona madhara yake na bado unamuwaza ex wako ambaye hujui huko aliko yukoje na kama ana mtu wake au ashakwaa vikwazo vya UN hafai tena
hapa unaweza pata stress zaidi usipoangalia
He was not available in the JF.......Ni nini, sijaelewa jamani, aliyeelewa please!
Ni nini, sijaelewa jamani, aliyeelewa please!
Hii ni taarifa, muhtasari au???
Mr Rocky, kweli ww ni great thinker. Upo sawa kimaana, na unaonekana una uwezo zaidi wa kupambanua na kukiweka kitu sawa.
Ingawaje hiyo ikuwa ni hand writting tu.