Habari wana MMU, nina swali kuhusu wanawake hii haimaanishi kuwa wanaume msichangie mnakaribishwa wote,harusi za zamani na za sasa ni tofauti sana nakumbuka harusi kadhaa nilizozishuhudia miaka...
Naombeni kujua kosa langu ni nini? Ilikuwa siku ya birthday ya mpenzi wangu. Ninavyomjua huwa anapenda sana kulala. Basi mojawapo mwa zawadi nilizomnunulia ni mto (Pillow). Nilimwambia wazi kuwa...
jamani mwanzoni nilidhani namuhisia vibaya ila nikaja ku realize ni kweli msichana wangu anatabia ya kunisearch mifuko wakati nimevua suruali nakwenda kuoga mara zote alizokuwa akija room nilikuwa...
Assault on morality!! South Africa court legalises sex for children as young as 12 years!!But only with each other and not with an adult.
South Africa's highest court has made it legal for...
Ni rafiki yangu mkubwa....katika kubana matumizi ya gari mbili mjini akaamua kuajiri dreva ili awe akiwashusha ofisini ,watoto shule na kuwarudia.....sasa anaona kama mke anakua karibu zaidi na...
Akasema wanawake wazuri ni wasumbufu. Bora uwe na wa kawaida tu. Walikuwa wakiambizana wenyewe wakiwa watatu. Yawezekana wamepata.mkasa sehemu. Nao ni wadada tu. Sasa hao wa kawsida ndio wakoje...
Habar zenu wana mum,leo nimekuja na hoja yangu binafsi,kwa ukweli toka nilipokua mdogo mpaka sasa hv sijapata kuelewa hichi kitu kinachoitwa UTEPE kina uhusiano gani na sherehe?hebu leten majibu.
habari za mchana wana jamii hili ni angalizo tu kwa wale wenye watoto kwanza watoto wasizoee kufungulia watu milango muwafundishe maana kuna watoto wengine wakisikia mtu kagonga wanakimbilia geti...
Mara ya mwisho nilionana na mdada flani miaka ya 1995 tukiwa mjini Bukoba. Nimekuja kuonana naye jijini Mwanza akiwa tayari kaishaolewa, nami nimeoa tayari. Tulikumbukana kwa kuwa nilikuwa na...
​hivi ni baadhi ya vijiwe ambavyo husemekana vijana wengi...na wazee jijini dar huvitumiaga kutafuta wachumba wazuli...ambavyo baadhi ya wakina dada na akina huvitumia kutafuta...
Kutafuta mpenzi, ni kazi, na kumpata mpenzi, kuna kazi, kua na mpenzi, nako kazi, lakini kaa ucwe na mpenzi uone kazi. Sasa kua makini na wako mpenzi, nje kuna wadokozi na wezi, Jitahidi...
Mimi sio mwenyeji saana wa Dodoma ila napafaham kidogo.
Pia ninapapenda, mara kadhaa nilishakuwepo kwa mapumziko binafsi.
ishu ni kua nina marafiki kadhaa na ndugu Dom ila sina rafiki...
Mara nyingi wapenzi wanageana na kununuliana zawadi mbalimbali za kula na kuvaa, japo zawadi zingine ni ngumu sana hasa kwa wanaume kuwanunulia wenza wao zawadi hasa nguo za ndani ya mwili, kwa...
kutokana na kukosekana (upungufu?) wa wanaume wa kuoa wanawake walio single elfu 8 jana wameandamana nchini Nigeria kwa lengo la kuishinikiza serikali waolewe kivipi (sijui).......
WANADAI MAISHA...
Umewahi kujiuliza nahisi tutapata jibu kamili na kuwasaidia wale wanao google kwa ajili ya wenzao wao wa maisha
hivi kwa nini wanawake wembamba wengi wanapenda wanaume minene
na kwa nini wanaume...
Watch mambo ya China, huku ndiko Mkutano wa Haki sawa ulifanyika. Kumbe kweli wanafuatisha kwa vitendo. Wanajamvi mnaonaje na sisi huku bongoland tuka adapt.......Toa maoni tupeleke mswada bunge...
Kwa wale wapenzi wa Nyumba Ndogo angalia Shairi hili:
Nyumba ndogo si fahari,si pendo ulimbukaji,
Pendo lisilo nadhari, daima unyatiaji,
Mara nyingi ni kaburi, la kufukia mitaji...
UTANGULIZI.
leo katika majukumu yangu nililazimika kupanda pikipiki baada ya kusisitizwa niwahi ofisini kwa haraka sana japo huwa naogopa kupanda bodaboda.
HABARI.
wakati bodaboda inakwenda kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.