Hii kitu hatari jamani... Tujitahidi kuacha...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,356
"Best" yangu hakuonekana kwenye kijiwe (baa) cha mpira Jumamosi iliyopita, kama nilivyotegemea. Nilipompigia simu akaniambia kuna 'kazi' anafanya jioni ile, muda si mrefu angeni-join. Kwa kuwa namuelewa, aliposema 'kazi' nilijua anamaanisha nini, kiufupi alikuwa anaisaliti ndoa yake somewhere. Sikushangaa kwa sababu nimemzoea...

Takribani masaa mawili badaye kaja, wakati huo mechi ya Man U na WBA ikifikia ukingoni. Kwa kuwa yeye ni mpinzani mkubwa wa Man U na tena timu yake ilitokea kushinda muda mfupi uliokuwa umepita, nilimtarajia kabisa angekuwa na furaha na kelele kibao... Lakini hali ilikuwa tofauti, kwani alipokaa, ingawa macho yalikuwa kideoni, lakini niliona kabisa akili yake ilizama kwenye dimbwi la mawazo!!!

"Vipi Mzee, swalama huko?"... nikamuuliza... Mwanzoni alikwepakwepa lakini baadaye akanipa full mkanda...
Anasema jioni ile alikuwa anaiba na demu ambaye zamani alikuwa demu wake lakini wakaja kupotezana. Ingawa walikuja kukutana miaka ya karibuni, hawakuthubutu kugusia mambo ya mapenzi kwa sababu kwanza, kila mmoja alikuwa na ndoa, na pili zamani hizo walipokuwa kwenye mapenzi ya kiuanafunzi, hawakuwahi kuduu... hivyo hakukuwa na kitu wanakimiss kimapenzi baina yao kiviile...
Hata hivyo shetani ni shetani tu... baada ya kuchat hapa na pale, wakajikuta wamekubaliana wakaonje kile 'walichotunziana' zamani. Hivyo, hiyo Jumamosi ndiyo ilikuwa siku ya siku

Sasa stori yenyewe...
Jamaa anasema yaliyomkuta humo ndani siku hiyo yamemfanya awaze sana huku akimshukuru Mungu wake kumnusuru na balaa. Anasema walianza tu mdogo mdogo na kwa kuwa kwenye kuchat before kila mmoja alikuwa anajisifiaga kuwa yuko fiti, basi hapo ilikuwa kama wanataka kuonyeshana ufundi. Jamaa alikuwa anasoma mchezo, akijitahidi kwanza demu achoke flani, ndipo aanza 'kumpelekesha'... Mapema tu demu aliomba wabadili staili ili awe juu, jamaa akamwambia hakuna shida, panda. Ndani ya dakika ambazo hazikuzidi 5, jamaa anasema aliona demu akihema kwa kasi sana, akadhani ndo anakaribia 'kibo', hivyo kimoyomoyo akajisifu kuwa mshindi, maana wakati ule yeye ndo alikuwa kwanza baado... akajisemea kuwa baada ya hapo angepiga kazi hadi demu aduwae...
Ila jamaa anasema demu ghafla alistopisha move alizokuwa anafanya, akajidondosha kifuani pake, kisha akajidondosha pembeni. Wakati jamaa anaanza kushangaa, demu akasema kwa sauti ya mbali "Nipepee, moyo unaenda mbio"... Jamaa akataharuki, demu akawa anasema kwa sauti ya mbaali... 'moyo'.. moyo... alafu baadae akawa kimya. Demu alikuwa anatiririka jasho vibaya na alipolala paliloa...
Jamaa kwa kuchanganyikiwa, akakurupuka akitaka kukimbia nje, alipofika mlangoni akakumbuka hajavaa, akarui kuvaa, akapata wazo ampepee kidogo akafanya hivyo na nguo zake. Hata hivyo akaona haina maana kwani mle ndani kulikuwa na baridi kali ya AC.
Alipomaliza kuvaa, huku demu akiendelea kutweta vibaya, jamaa akataka tena kutoka, lakini alipofika mlangoni akaona atakuwa ameacha ushahidi, akarudi akachukua simu ya demu (maana waliwasiliana kwa sms kabla). Hata hivyo alipotaka kutoka akaona ni upuuzi tu maana isingekuwa kazi ngumu kugundua ni yeye alikuwa nae, ikizingatiwa details za mawasiliano zingepatikana huko mitandaoni, na funger prints alizoacha mle ndani ni za kutosha, akarudi.
Baada ya kama dakika 20, demu alitulia, akarudiwa na nguvu akaweza kujigeuza na akawa anaongea kidogo kidogo... baadae akapata nguvu zaidi... Hata hivyo jamaa alinichekesha kwani anasema pale walikubaliana gemu iahirishwe, lakini walipoenda bafuni kuoga, mizuka ilimrudia akajikuta akimshawishi demu wakamaliza mle mle...

Jamaa aliwaza mambo mengi sana... mke wake, mme wa yule dada, kazi yake, jela, fedheha, umasikini nk... Tulishauriana mengi sana, kubwa ni kuwa haya mambo ni hatari jamani, kwa ambao hawajaacha, wajitahidi waache...
 
aiseeeeeh!!!!!! mkuu haina namna hayo hutokeaga sana , kuzimia na kupoteza nguvu kwa wanawake kwa wapiga kazi imara huwatokea sana,,,,,,,, cha muhimu ni kuomba Mungu asipitilize kwenye huo upotevu wa fahamu,,,,,,,,,,,,,,,
 
Jamaa ni sikio la kufa! Kaenda bafuni bado anataka tena kulabua wakati demu ni khmeo!
 
Mazingira mengine mkuu kuomba Mungu unaona aibu mwenyewe... hasa pale mnapokuwa mnavunja amri...
 
Jamaa ni sikio la kufa! Kaenda bafuni bado anataka tena kulabua wakati demu ni khmeo!

Hapo hata mimi aliniacha hio... ingekuwa mimi hata kuoga ningeenda kuogea kwetu...
 
Kweli Tuko jamaa yako ana moyo wa chuma pamoja na dhahama yote bado ana guts za kuomba kumaliza mchezo
yaani angenyanyuka na nimuone amepata unafuu yaani brake ya kwanza ni getini kwenye hiyo guest house wala nisingeaga
Ila muhimu amshukuru Mungu wake amemuepusha na mengi maana hapo ni jela ilikuwa inamsubiri na ndo ungekuwa mwisho wa ndoto zake zote na kuiacha familia yake
 
Last edited by a moderator:

Kabisa mkuu,
Ndo maana hii mambo mi nahisi inacontroliwa na nguvu za ziada...
Bila shaka hii kichwa ya chini ikishapata moto inakuwa connected kidigitali na nguvu fulani hivi nje ya miili yetu...lol
 
Kuna vitu vinhine huwezi kusema hata ni nguvu za nje Tuko
Maana jamaa alikuwa anataka kukimbia na hapo kama ni kichwa cha chini kilisinyaa ghafla baada ya hilo tukio
Yaani sidhani hata tena ningekuwa na nguvu au hisia za kunyanyua kichwa cha chini
Ningeona amenyanyuka kwa kweli ni mwendo wa kuagana kabisa kama ni janaba wacha niende nalo kwa akina Tuko wasikie natoa harufu aise kuliko kuendelea hata kumuona na kama ni majanga yamkute huko huko mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
jamaa atakuwa alitweta hadi kilindini
 
hahahaaaaaa hiyo wakware wanaita nzi kufia kwenye kidonda ni ajali hivo wataendelea kung'ong'a tuu.
Labda wawe wanatembea na zile masine za kupimia presha ndo waanze shuhuli ha ha ha haaaaa
 
Mkuu kama jamaa alimalizia gemu chooni, kilichomfanya awe na mawazo ni nini?

"Best" yangu hakuonekana kwenye kijiwe (baa) cha mpira Jumamosi iliyopita, kama nilivyotegemea. Nilipompigia simu akaniambia kuna 'kazi' anafanya jioni ile, muda si mrefu angeni-join. Kwa kuwa namuelewa, aliposema 'kazi' nilijua anamaanisha nini, kiufupi alikuwa anaisaliti ndoa yake somewhere. Sikushangaa kwa sababu nimemzoea...

Takribani masaa mawili badaye kaja, wakati huo mechi ya Man U na WBA ikifikia ukingoni. Kwa kuwa yeye ni mpinzani mkubwa wa Man U na tena timu yake ilitokea kushinda muda mfupi uliokuwa umepita, nilimtarajia kabisa angekuwa na furaha na kelele kibao... Lakini hali ilikuwa tofauti, kwani alipokaa, ingawa macho yalikuwa kideoni, lakini niliona kabisa akili yake ilizama kwenye dimbwi la mawazo!!!

"Vipi Mzee, swalama huko?"... nikamuuliza... Mwanzoni alikwepakwepa lakini baadaye akanipa full mkanda...
Anasema jioni ile alikuwa anaiba na demu ambaye zamani alikuwa demu wake lakini wakaja kupotezana. Ingawa walikuja kukutana miaka ya karibuni, hawakuthubutu kugusia mambo ya mapenzi kwa sababu kwanza, kila mmoja alikuwa na ndoa, na pili zamani hizo walipokuwa kwenye mapenzi ya kiuanafunzi, hawakuwahi kuduu... hivyo hakukuwa na kitu wanakimiss kimapenzi baina yao kiviile...
Hata hivyo shetani ni shetani tu... baada ya kuchat hapa na pale, wakajikuta wamekubaliana wakaonje kile 'walichotunziana' zamani. Hivyo, hiyo Jumamosi ndiyo ilikuwa siku ya siku

Sasa stori yenyewe...
Jamaa anasema yaliyomkuta humo ndani siku hiyo yamemfanya awaze sana huku akimshukuru Mungu wake kumnusuru na balaa. Anasema walianza tu mdogo mdogo na kwa kuwa kwenye kuchat before kila mmoja alikuwa anajisifiaga kuwa yuko fiti, basi hapo ilikuwa kama wanataka kuonyeshana ufundi. Jamaa alikuwa anasoma mchezo, akijitahidi kwanza demu achoke flani, ndipo aanza 'kumpelekesha'... Mapema tu demu aliomba wabadili staili ili awe juu, jamaa akamwambia hakuna shida, panda. Ndani ya dakika ambazo hazikuzidi 5, jamaa anasema aliona demu akihema kwa kasi sana, akadhani ndo anakaribia 'kibo', hivyo kimoyomoyo akajisifu kuwa mshindi, maana wakati ule yeye ndo alikuwa kwanza baado... akajisemea kuwa baada ya hapo angepiga kazi hadi demu aduwae...
Ila jamaa anasema demu ghafla alistopisha move alizokuwa anafanya, akajidondosha kifuani pake, kisha akajidondosha pembeni. Wakati jamaa anaanza kushangaa, demu akasema kwa sauti ya mbali "Nipepee, moyo unaenda mbio"... Jamaa akataharuki, demu akawa anasema kwa sauti ya mbaali... 'moyo'.. moyo... alafu baadae akawa kimya. Demu alikuwa anatiririka jasho vibaya na alipolala paliloa...
Jamaa kwa kuchanganyikiwa, akakurupuka akitaka kukimbia nje, alipofika mlangoni akakumbuka hajavaa, akarui kuvaa, akapata wazo ampepee kidogo akafanya hivyo na nguo zake. Hata hivyo akaona haina maana kwani mle ndani kulikuwa na baridi kali ya AC.
Alipomaliza kuvaa, huku demu akiendelea kutweta vibaya, jamaa akataka tena kutoka, lakini alipofika mlangoni akaona atakuwa ameacha ushahidi, akarudi akachukua simu ya demu (maana waliwasiliana kwa sms kabla). Hata hivyo alipotaka kutoka akaona ni upuuzi tu maana isingekuwa kazi ngumu kugundua ni yeye alikuwa nae, ikizingatiwa details za mawasiliano zingepatikana huko mitandaoni, na funger prints alizoacha mle ndani ni za kutosha, akarudi.
Baada ya kama dakika 20, demu alitulia, akarudiwa na nguvu akaweza kujigeuza na akawa anaongea kidogo kidogo... baadae akapata nguvu zaidi... Hata hivyo jamaa alinichekesha kwani anasema pale walikubaliana gemu iahirishwe, lakini walipoenda bafuni kuoga, mizuka ilimrudia akajikuta akimshawishi demu wakamaliza mle mle...

Jamaa aliwaza mambo mengi sana... mke wake, mme wa yule dada, kazi yake, jela, fedheha, umasikini nk... Tulishauriana mengi sana, kubwa ni kuwa haya mambo ni hatari jamani, kwa ambao hawajaacha, wajitahidi waache...
 
Nadhani huyo dada alikuwa na kimuhe muhe sana kwa ajili ya kutaka kumuonesha ufundi huyo rafiki yako. Akajikuta yuko under high pressure na kufikia kupoteza faham...ni mambo ya kawaida hasa mtu anapokuwa under high pressure plus strees kwa kuwa walikuwa wanafanya usasiliti so yakamkuta hayo!

mambo ya kukamia mechi mabaya sana..kwa uungwana unasema tu game yangu utaiona siku tuko uwanjani! Mambo ya sijui naenda round kumi mara sijui unakata kama feni ni ujinga tu na ndo inapelekea majanga hasa show inapokuwa chini ya kiwando ulichojitapa nacho.

BTW, Mleta mada umemwaga full details hapa kiasi kwamba hata wahusika wenyewe kama ni member hapa lazma imewatouch...siku nyingine jamaa hatakusimulia tena. USINZI NOMAAA
 
Kabisa mkuu,
Ndo maana hii mambo mi nahisi inacontroliwa na nguvu za ziada...
Bila shaka hii kichwa ya chini ikishapata moto inakuwa connected kidigitali na nguvu fulani hivi nje ya miili yetu...lol

mkuu Tuko hii area bado inahitaji tafiti nyingine aisee!
 
Back
Top Bottom