Habari zenu wanaMMU,.
Leo niko na nyie dada zangu ninaowaheshimu na kuwapa heshima mnayostahili!!
Back to the topic,.
Ninakereka sana na vijivazi vyenu mnavyovivaa siku hizi kwa kuwa...
Ubakaji ni tendo la kumlazimisha mtu yeyote yule (mwanamke au mwanaume) /(mke wako au mme wako) kufanya tendo la ndoa pasipo idhini/hiari yake mwenyewe!
Tatizo hili linawakumba wake za watu zaidi...
Imekua ni kawaida sana katika jamii yetu kuskia vioja vitokanavyo na mapenzi: mara utaskia "anywa sumu, ajinyonga" na mengineyo yanayochukiza ambayo hayaleti haiba nzuri kwa jamii haswa kwa vijana...
Naamini jamvi hili ni mojawapo ya njia rahisi sana ya kunikutanisha na aina ya mtu nayemtaka
Sifa
Awe mkristo
Umri miaka 25 hadi 28
Mwembamba rangi yeyote ila...
habr zenu wana
jf mimi katka
miez ya hv krbun hamu yangu ya mapenz imepanda sana na mke wangu ni mjamzto anakarbia kujfungua sjui nfanye nn mpka nafkria kununua madada poa il kutuliza mzuka...
Nimekuwa nikifuatilia matukio mbalimbali yanayoripotiwa kwenye vyombo vya habari huko kenya na hapa Tanzania,
nimefadhaishwa sana na riporti toka kenya.
kwa muda wa juma moja imeripotiwa kwamba
1...
Mimi naishi moshi na Mara nyingi hujisikia lonely hasa weekend kwani na kuwa na muda wa zaidi.
kama yupo msichana ambaye anahitaji company hasa weekend na yupo moshi au Arusha....napenda aliyepo...
Ndugu wa JF nina wasalimia kwapamoja.
Kwa muda mrefu nimepotea JF nilikuwa maporini nikikata miti ya kutengeneza mkaa.
Sasa ngoja nirudi kwenye mada. Ilikuwa mwaka 1992, kipindi kile nilitoroka...
Janice Renee Anthony binti wa miaka 19 baada ya kutiwa hatiani kwa mauaji ya mwanye wa miaka 3......
Mwanamke mmoja aliyetajwa kwa jina la Janice Renee Anthony anayeishi katika mji wa Fort Worth...
MOJA ni kuepuka hofu. Ikitokea siku moja umeshindwa katika tendo haina maana una kasoro, bali ni hali ya kawaida, hivyo usiingize huzuni na hofu utakuza tatizo. Hivyo kwa wale wenye tatizo hili...
Umektana naye leo,ndani ya wiki unaanza hudumia kwa fujo.mara umempa mtaji,umemlpia ada bla kujua background yake. Tunajifanya atm au mpesa na tukilzwa tunalialia. Wengi wamelzwa na hawa viumbe...
Leo katika zunguka yangu nimekutana na kisa cha ajabu sana.
Mama amejaliwa mtoto wa kike ana miaka mitatu ila hana furaha nae sababu ni mweusi,amekuwa kama akimnyanyapaa binti yake na hata...
Jamani naombeni ushauri wenu kwa huyu rafiki yangu ni mrembo wa haja kweli kama mnavyojua wahaya figure namba nane black beauty, tataizo lake anahitaji sana kuolewa na umri umeenda sana ana 28yrs...
Wakati wanaume warefu wakipigiwa upatu na wanawake hali ni tofauti kwa wanawake,wale warefu(tall women) si chaguo la wanaume wengi. wale wanawake wa kawaida si warefu si wafupi ndio wenye mvuto...
Mara nyingi mwanaume kabla ya kuoa tunakua juu sana kwa mwatumizi hasa tukiwa na wapenzi maeneo ni full kutumia,mtoto atake nini asipewe mtoto atake kiwanja gani msiende dizaini huwa sisi wanaume...
Matangazo mengne hayana akili,et mwanaume wa kweli anatumia dume. Wengne wanaoloweka tu sio wanaume? Kwani ukweli au uwongo wa mwanaume unategemea aina ya condom anayotumia?
Jamani wana mmu natumai hamjambo wote
mimi nimfanyakaz kwenye ofisi flani ila kunamfanyakazi mwingine ambaye tunafanyakazi office moja na Pia tumeanza naye kazi mwaka huu,, tunaishi nyumba moja...
WANAWAKE wengi ambao hawajaolewa (Singles) wanaweza wakaangalia baadhi ya ndoa za marafiki zao na kuona mahusiano mabovu na wanandoa ambao hawana raha, lakini sio tu kwasababu eti baadhi ya...