ana miezi mitatu wa njisi ya kike, ni muoga kupita kiasa kila anacho sikia kwa sauti anashtuka,ukipiga chafya,mtu akiogea kwa sauti na n.k anashtuka sana hata akiwa usingizini.nimejaribu kumrusha...
imenukuliwa kutoka MUCE orientation course."zaman tulikuwa tunafunua chupi ili kuyaona ------ ila sasa hivi unafunua ------ ili kuiona chupi!" Hii imekuja baada ya mheshimiwa mmoja kutoa...
Nna matatizo au, kwa sasa nnaelekea kufunga miaka 29, mimi ni mrefu, nimejaa.looking very fresh,
kwa mazingira nnliyopo ya bush kidogo, maisha yangu nahisi ni ya kutamaniwa kidogo yaan kiuchumi...
Habari zenu wanaMMU,.
Hii imetokea juzi wakati narejea kutoka mjini kujipatia matumizi yangu kuelekea mwisho wa wiki,.
Baada ya kujipatia mahitaji yangu nilielekea kituo cha basi na kupata...
umtazamapo machon ni bnt ambaye hutojizuia kumpenda kutokana na upole wake na unadhifu wake mda wote , juz nimemshudia akipigwa makofi na moja ya mabwana wake na hapo ndipo nilipopata kuona na...
Nimeshuhudia wanaume wengi waliokuwa wakiwapenda na kuwathamini wenzi wao wakitendwa.
Mchungaji mmoja alikuwa anampenda sana mke wake,ikatokea wakapata neema ya kwenda Uingereza.
Mwanamke...
Ni mzuri jamani...kweli JF kuna vyombo.........huyu dada alikua ana iPAD ina black cover..... ilkua upande wa mbezi beach......alitoka kuogelea akaja counter amevaa kanga, juu ana bra tu...
Habari zenu wadau..
Kwa kweli dunia ina challenge nyingi sana na maisha hayatabiriki
Mimi kama Mwanaume 27 years of age ni mmojawapo ya wanaume waliotamani sana kuanzisha familia mapema...
Du...tangu asubuhi sikuwepo...mefika tu...nakuta JEZI ya yanga....nkawa mpole sikujua kama ni shabi...baada ya muda kutazama vya ndani vyote ni YANGA (NJANO)...mie nko kwenye black/white... hata...
Rafiki yangu alipata shida kubwa baada ya kushindwa kumsaidia mkewe ambaye alikuwa na matatizo yafuatayo;
1Kumpeleka mumewe kwenye mabaraza ya mara kwa mara kila wanapokosana.
2.Kuchukia kila...
Nimefanya utafiti binafsi kuhusu ukaribu kati ya wana me&ke nkagundua kuwa wanawake wako nyuma sana kuwafahamu wanaume hata kama wanaishi pamoja.
Kwa mf. ni vigumu sana kwa m/ke kujua mme...
Mwanamke kapiga simu haikupokelewa.
-Facbk status: nachukia na nakereka kweli kuhangaika kumpigia mtu simu na hapokei Mijitu mingine sijui ipoje, hata haipendeki.
-Sms: Ina maana huoni simu...
Yaani siku hizi kuna ndoa jaman kama ndoano vile ukimeza tu umeshanaswa. visichana vya siku hizi vitategesha kuolewa tu vikiolewa tu tayari mwenye ndoano anaanza kuvuta kuelekea nje, sasa...
In U.S....this is my lovely wife.
In Britain..this is my lovely queen.
In Tz...huyu ndo mama watoto
In USA, when going to work, wife says 'have fun at work hunie'
In UK, wife says 'see you later...
jamani kaka na dada zangu..huyu msichana nampenda sana ila kila mara tunakosana..najaribu sometimes kukubali kosa na hata kuomba radhi but mh! hata kama nampenda sana naona mimi sio chaguo...
..kila siku nabadili viwanja niwe free na hii harufu ya BHAANGH., inavutwa hadharani huku ndugu zangu.,
kova nakwambia sasa kila mwya bia kashavuta na BANGI bila kujielewa... Tufanyeje sasa...
WANAOKUBALI HARAKA=WAMEPENDA KWELI
mwanamke anayekupenda kweli hawezi kujivutavuta kukubalia wakati hata yeye anaumia,eti achukue mwaka mzima ama miwili anakuzungusha!!hawezi kufanya hivo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.