Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
Wakati wanaume warefu wakipigiwa upatu na wanawake hali ni tofauti kwa wanawake,wale warefu(tall women) si chaguo la wanaume wengi. wale wanawake wa kawaida si warefu si wafupi ndio wenye mvuto zaidi,yaani english figure wanabamba sana.
NB:
1.HAO WAREFU NI KUANZIA FUTI 6 NA KUENDELEA.
2.wa kawaida ni futi 5.2 mpaka 5.9
3.wafupi ni chini ya futi 5.
NB:
1.HAO WAREFU NI KUANZIA FUTI 6 NA KUENDELEA.
2.wa kawaida ni futi 5.2 mpaka 5.9
3.wafupi ni chini ya futi 5.