Wanaume wengi walio oa ni wabahiri.

Wanaume wengi walio oa ni wabahiri.

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Mara nyingi mwanaume kabla ya kuoa tunakua juu sana kwa mwatumizi hasa tukiwa na wapenzi maeneo ni full kutumia,mtoto atake nini asipewe mtoto atake kiwanja gani msiende dizaini huwa sisi wanaume tunapendaga sana tuonekane tuna mkwanja na hatutaki kuaibika mbele ya wanawake hata kama kipato chetu ni kidogo hapo ni kuhonga kwenda mbele.....ngoma inabadilika pale tukisha oa tunakua wagumu sana kutoa hela za matumizi kwa wake zetu hawa hawa tulio kua tunakula nao bata viwanja na hasa kama mke ana kibarua kudadeki hata hela ya chumvi hapati mzigo wote unakua kwake sometime hata pamba za watoto mama ndo anakua responsible........hii kitu ipo sana kwa mamen kibao tu.au naongopa jamani?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
^^
Kuna tofauti sana ya maisha ya uchumba na ndoa..ukiendekeza matumizi mabovu familia utaikimbia.
^^
 
Siendagi nyumba ndogo bila kuhakikisha nyumba kubwa kila kitu kiko sawa. (Namaanisha mahitaji na gea ya kuondokea lazima iwe kubwa.:behindsofa:
 
We unadhani kufikiria kujenga, kusomesha nk mchezo!! Bado hujaambiwa, fulani nilisoma naye sasa hivi amenunua gari! Ukiwa ndani ya familia inabidi uwe mwanaume na siyo buzi tena!
 
Tofautisha familia na uchumba. Kuna mengi sana ya kufanya ukiwa na familia kuliko kuwa na mchumba
 
Back
Top Bottom