WANAUME mkilogwa na WANAWAKE mtasema mmeonewa?

Loly

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
522
Reaction score
232
Jamani naombeni ushauri wenu kwa huyu rafiki yangu ni mrembo wa haja kweli kama mnavyojua wahaya figure namba nane black beauty, tataizo lake anahitaji sana kuolewa na umri umeenda sana ana 28yrs old, wanaume wamekuwa wakimrubuni kwa mapenzi wakisikia habari ya ndoa wanakimbia nayeye haitaji boyfriend kilio chake ni kuolewa.
Nikama miezi 6 sasa hivi imeshapita alimpata kijana mmoja mtanashati wakapendana sana, baada ya muda mfupi Yule kijana akamwambia ahame alipokuwa amepanga chumba ahamie kwake waanze maisha ya mume na mke , dada akashukuru akajua ndio kuolewa huko, akaachia chumba huko alikokuwa amepanga akahamia kwa kijana huku maisha yakiendelea, kijana akawaanamshawishi abebe mimba, basi kwakua dada hakua na mtoto aliona ni sawa akabeba mimba baada ya mimba kufikisha kama mwezi na nusu kijana akamchenchia akamwambia atoe hiyo mimba hayuko tayari kuwa na mtoto kwa kipindi hicho na dawa za kutoa hiyo mimba akamletea ikabidi bidada azinywe ili maelewanao ya wepo, baada ya mimba kutoka mapenzi yakaendelea motomoto nakijana akamwambia bidada mwezi dec nitakupeleka kwetu kukutambulisha nawewe unipeleke kwenu ili tuanze process za ndoa, basi wakakubaliana maisha yakaendelea.
Hivi majuzi rafikiyangu kaja kunilalamikia mwanaume amebadilika sana wakipata mgeni kama ni mwanaume,kijana anaenda kulala na mgeni sebuleni anamuacha rafiki yangu chumbani peke yake hatakama mgeni atakaa wiki mbili hali itaendelea hivyo hadi mgeni aondoke, kingine nikwamba mwanaume anapigiwa simu hadi saa nane za usiku na xgirl wake, ikabidi rafiki yangu achukue hiyo namba ya simu ili apate ukweli, kupiga hiyo simu akapokea msichana alivyojaribu kumuuliza huyo kijana ninani kwake akamwambia ni mchumba wake nahapo alipo anaujauzito wa miezi 3 na wanategemea kufunga ndoa mapema mwakani na December anampeleka kijijini kwao kumtambulisha ikabidi shost wangu ashtuke kwa maneno ya huyo dada, ikabidi amuulize mwanaume nini kinaendelea jibu mwanaume alilomjibu nikwamba kwenye ukoo wao walishakatazwa kuoa wahaya kwahiyo aamue atakaloamua, sasa rafiki yangu alichoamua kasema bora anywe sumu kuliko kumuacha jamaa kwasababu kaachia chumba chake buree kumbe mwaume ana mdanganya, nilichomshauri asithubutu kunywa sumu kwajili ya mwanaume kwani haitamsaidia chochote.

Naombeni ushauri wenu rafiki yangu afanyeje kwahili wakubwa zangu
 
Kwa hiyo anataka kujiua sababu ya chumba alichoachia zaidi ya kukosa ndoa? Hii story sijaielewa kabisa.

Kulala sebuleni na mwanamme na kumwacha yeye chumbani, je akija mgeni mwanamke inakuwaje?
 
Ajifunze kwa makosa yake na aanze maisha yake!!!!!!

NB; Toto la kihaya sijui black beauty,umbo namba nane na mambo kama hayo hayana cha kufanya na mapenzi ya kweli na ndoa!!!!
 
Kwahyo hapa analilia chumba au? Na kulala na mwanaume sebuleni imekaaje hii maana kuna maana nyingi hapa.
 
halafu wakaka kwa kutaka watu wahamie kwao?
sasa nitawaambia ndugu zangu naishi wapi?....majanga majangaaa
 
huyo rafiki yako sijui yukoje..ni miongoni mwa mabint wasiojielewa

na kujua nini anataka maishani....hama kahama.toa mimba katoa sijui fanya nin anafanya
 
Chezeya dudu wewe.....hata angeambia akamtukane mama yake angefanya hivyo.
 
halafu wakaka kwa kutaka watu wahamie kwao?
sasa nitawaambia ndugu zangu naishi wapi?....majanga majangaaa

Mmezidi kututegea fumanizi sikuhizi........yaani siku hizi ukienda kukutana na demu unakua na wasiwasi kama unaenda kunyongwa.
 
Jamani naombeni ushauri wenu kwa huyu rafiki yangu ni mrembo wa haja kweli kama mnavyojua wahaya figure namba nane black beauty, tataizo lake anahitaji sana kuolewa na umri umeenda sana ana 28yrs old, wanaume wamekuwa wakimrubuni kwa mapenzi wakisikia habari ya ndoa wanakimbia nayeye haitaji boyfriend kilio chake ni kuolewa.
Nikama miezi 6 sasa hivi imeshapita alimpata kijana mmoja mtanashati wakapendana sana, baada ya muda mfupi Yule kijana akamwambia ahame alipokuwa amepanga chumba ahamie kwake waanze maisha ya mume na mke , dada akashukuru akajua ndio kuolewa huko, akaachia chumba huko alikokuwa amepanga akahamia kwa kijana huku maisha yakiendelea, kijana akawaanamshawishi abebe mimba, basi kwakua dada hakua na mtoto aliona ni sawa akabeba mimba baada ya mimba kufikisha kama mwezi na nusu kijana akamchenchia akamwambia atoe hiyo mimba hayuko tayari kuwa na mtoto kwa kipindi hicho na dawa za kutoa hiyo mimba akamletea ikabidi bidada azinywe ili maelewanao ya wepo, baada ya mimba kutoka mapenzi yakaendelea motomoto nakijana akamwambia bidada mwezi dec nitakupeleka kwetu kukutambulisha nawewe unipeleke kwenu ili tuanze process za ndoa, basi wakakubaliana maisha yakaendelea.
Hivi majuzi rafikiyangu kaja kunilalamikia mwanaume amebadilika sana wakipata mgeni kama ni mwanaume,kijana anaenda kulala na mgeni sebuleni anamuacha rafiki yangu chumbani peke yake hatakama mgeni atakaa wiki mbili hali itaendelea hivyo hadi mgeni aondoke, kingine nikwamba mwanaume anapigiwa simu hadi saa nane za usiku na xgirl wake, ikabidi rafiki yangu achukue hiyo namba ya simu ili apate ukweli, kupiga hiyo simu akapokea msichana alivyojaribu kumuuliza huyo kijana ninani kwake akamwambia ni mchumba wake nahapo alipo anaujauzito wa miezi 3 na wanategemea kufunga ndoa mapema mwakani na December anampeleka kijijini kwao kumtambulisha ikabidi shost wangu ashtuke kwa maneno ya huyo dada, ikabidi amuulize mwanaume nini kinaendelea jibu mwanaume alilomjibu nikwamba kwenye ukoo wao walishakatazwa kuoa wahaya kwahiyo aamue atakaloamua, sasa rafiki yangu alichoamua kasema bora anywe sumu kuliko kumuacha jamaa kwasababu kaachia chumba chake buree kumbe mwaume ana mdanganya, nilichomshauri asithubutu kunywa sumu kwajili ya mwanaume kwani haitamsaidia chochote.

Naombeni ushauri wenu rafiki yangu afanyeje kwahili wakubwa zangu

Hapo ndio panapoumiza wakubwa zangu
 
kwahyo ndo unataka mshauri amloge? Si ndio..@!?
 
mwambie anywe sumu tuu!
akigoma kunywa sumu nipm nitakuelekeza kwa kalumanzila wa kumloga huyo jinaume, dawa nikulaza hiyo ndude yake chezea kuachia chumba weye
 
Hapo ndio panapoumiza wakubwa zangu

Ndo vile.......kwani kazaliwa nae.......hiyo ndio mitihani ya kujiandaa na necta......sio kila uhusiano lazima uzae ndoa........asimame......ajikung'ute.......aendelee na safari......achunge tu.....kilichomwangusha kisimwangushe tena........
 
Back
Top Bottom