Eti mwanaume wa kweli anatumia dume.

Eti mwanaume wa kweli anatumia dume.

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,048
Reaction score
13,495
Matangazo mengne hayana akili,et mwanaume wa kweli anatumia dume. Wengne wanaoloweka tu sio wanaume? Kwani ukweli au uwongo wa mwanaume unategemea aina ya condom anayotumia?
 
Dume iliwahi kunipasukia katikati ya gemu halafu nilikuwa nakula Baamedi.. mpaka leo sina hamu nazo.....
 
Hapana mwanaume atumie dume? matusi haya!
 
Yaani hilo litangazo, halafu reeefuuuu, huwa naliona la kizush,
mi huwa natumiaga sana rough Ryder
 
inategemea unajilipua wapi! Wengne ukikumbatiana naye tu unaanza kukumbuka mawazo ya angaza sasa unaanzaje kuloweka tu?

Kweli kaka kuna mademu wengine hakuna haja ya kutumia vipimo,kwa macho tu wanaonekana majanga...
 
Dume iliwahi kunipasukia katikati ya gemu halafu nilikuwa nakula Baamedi.. mpaka leo sina hamu nazo.....

ha ha ha ha! Nimecheka peke yangu kama kichaa. we jamaa ushaukwaa buriani
 
Kwa hiyo Dume si SALAMA ama SALAMA si DUME? tujuzen wataalam
 
Hahahahahahaha acheni vichekesho hizo ni biashara nyie mnataka wakale wap inamaana adamu na Hawa nao walitumia au ni viiini macho?
 
Back
Top Bottom