1. Kichwa kinanizunguka ,kila nikifikiria
Ni wapi ilipotoka, nani aloivumbua
Ni nini hassa hakika, mie havijanelea
2. Kama ni mila hakika, iweje imeenea
Kwa bara la afrika,yuropa hata asia
Fikira...
UKIMPATA mwanaume anayechunika mchune kweli yaani we mchune haswa . Lakini ukishamchuna basi usijiangalie wewe mwenyewe sijui kuvaa maweaving ya laki tano, viatu vya laki tatu, kununua masimu ya...
Wakuu heshima mbele.
Nimefikia uamuzi wa kuuliza hili kutokana na tafiti zangu binafsi kupitia kusoma blog mbali mbali na kuongea na baadhi ya watanzania waishio majuu.
Je kwanini watanzania...
UTANGULIZI
Kaka mtu anaitwa Furaha
mdogo mtu anaitwa Amani
Mwanamke anaitwa Rehema:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:Amani na Rehema wameoana miaka kumi iliyopita, kwa...
Habari wakuu, mimi ni kijana wa miaka ishirini na tano nikiwa chuoni nimetembea na wanawake 30 sasa najuta alisikika akiongea kijana mmoja aliejulikana kama Born
Born ni kijana mtanashati...
wanawake hujikondesha/kujinenepesha, hujichubua,
Huvaa nguo za kubana ( cosettes, pelvic girdles etc) zenye kuumiza,
na mengine mengi ili kuwafanya wavutie kwa wanaume wao.
Hivi, wanaume nao...
Hamjambo wana MMU?
Hapa nilipo kiroho kinanidunda kwa kumfikiria huyu dada! Kila nimwonapo nachanganyikiwa.Najiuliza: Kaolewa au yuko single? Namba yake ya simu ninayo lakini naogopa kumpigia...
Kwenye mapenzi kuna nyakati za kutofautiana na kukasirishana,kipindi hiki huwa ni cha hatari husababisha nyufa kubwa za uhusiano na kulifanya penzi kukosa ladha,watu...
Kama nilivyosema awali (Kuna dada nilimpenda sana, ila nilishindwa kumuoa kwa sababu ya elimu ndogo aliyonayo; kipindi hicho sikujua ndoa ni zaidi ya elimu, ndio nimetambua sasa; nimekubali makosa...
Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja hasa kama...
Baasi
kuna tabaka la wasichana hapa mjini wengi wapo in their 20s,wanafikiri maisha ni kufanya starehe
mtoto wa kike unakesha baa, getting wasted kama wanaume
mtoto wa kike vijiwe vyote...
Wakuu kuna frend wangu alikua anasumbuliwa na binti mmja wa kimakuwa ki ukweli jamaa alikua hamtaki na wala hana hisia zozote kwa binti na Ukitegemea tayari alikuwa na mupenzi wake na...
Wana MMU Kwa msichana Ambae umemtongoza na akakuonyeshea dariri zote amekubari rakini ukimwambia akupe jibu ilikusudi upate uhakika anakaa tu kimya na hakatai wala hagomi na anabaki tu anaona aibu...
Habari wana MMU
Samahanini kwa wale nitakaowakwaza sio lengo langu ila huu ni mtazamo wangu tuu
Nimekaaa nikafanya utafiti wa mda mrefu hasa kwa sehemu zilizo na muingiliani wa watu wengi...
Niko maeneo ya nyumbani napunga upepo. Barabarani anapita mbwa jike akienda anakojua huku akichechemea. Ni mzazi kwani ana watoto wadogo kwani nimeshawaona. Wamekua kiasi na wana afya njema...
1.honey how are u doing? are you alright? i hope you are safe! call me back,i lov u baby.
2.whats rong honey?are you alright?
3.hii sms iliingia kwa simu toka kwa faza house,kupiga kuulizia...
habari zenu wana mmu!
ni wiki ya pili nasumbuliwa na hichi kitu PHONESEX!
nimewahi kuambiwa na x-gf wangu pindi alipokuwa mbali na mimi ila nilimkatalia kwa hofu kuwa sijui hata pa kuanzia...
Hii inasemekana kutokana na wao kufanya vitendo vingi vya kikatili kama Kumuua hata mtoto aliye mzaa.
Kushiriki sana kwenye uchawi na idadi kubwa ni wanawake na hata kuwaua waume zao.
Nina rafiki yangu ambaye alikuwa na mpenzi wake ambaye alikuwa anampenda sana na kumwamini sana mpaka kufikia hatua ya kumvisha pete ya uchumba. Jambo ambalo lilitufanya tuseme kuwa hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.