Chauro
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 2,968
- 1,478
Leo katika zunguka yangu nimekutana na kisa cha ajabu sana.
Mama amejaliwa mtoto wa kike ana miaka mitatu ila hana furaha nae sababu ni mweusi,amekuwa kama akimnyanyapaa binti yake na hata akimfukuza popote anapomfuata.
Cha kusikitisha zaidi nikasikia anasema anamtafutia dawa ili ambadilishe kuwa mweupe sasa kumekuwa na mzozo baina ya baba na mama mtoto ni kama amefika mahali hamtambui mama tena kila kitu anaenda kwa baba yake.
-Nimejiuliza maswali mengi sana hivi kweli baada ya shruba zote zile za mimba na kujaliwa hizi baraka kuna wamama bado wanaona kama watoto walionao ni nuksi hawajivunii kuwa nao?
-Je maumivu anayopitia huyu mtoto/binti huko mbeleni atakuwa mama wa namna gani?
Mama/ mama watarajiwa naamini kila mtu ana ndoto/matarajio yake maishani nini kinapelekea kuona mtoto uliye nae si wa kiwango chako tena akiwa katika umri mdogo kabisa.
Baba upi msimamo wako ukikutana mke wa dizaini hii?