Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wanaMMU,. Kumekuwa na vilio vingi sana hapa jamvini hususan katika suala zima la uzazi, wanaume kwa wanawake wameingia katika ndoa huku wakiwa hawana uhakika katika suala la...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
http://youtu.be/b_mfAYZoguk embu toa comment zako
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ktk uchunguzi nilioufanya kuhusu process ya uchumba hadi ndoa nikagundua kuwa wanandoa wengi walianzisha uhusiano ktk mazingira yaliyowazunguka kwa wakati huo! mf. masomoni,kazini,club,beach,guest...
6 Reactions
34 Replies
4K Views
Wasichana ambao bado hamjaolewa msithubutu kudate na mwanaume ambaye ana umri zaidi ya miaka 35 na hajaoa tena mbaya zaidi kama anao watoto kazaa hovyo, sawali la kujiuliza ni kwanini hajaoa...
3 Reactions
107 Replies
12K Views
Ishu nyingine ni challenging kidogo kwenye kushauri. Huyu mdada ana jamaa yake ambaye wameplan kuingia kwenye ndoa, but hiyo ndoa ndiyo naita matatizo. Kutokana na uwezo mdogo wa familia yao...
2 Reactions
94 Replies
9K Views
Mke: Haloo baba uko wapi? Baba: Niko hapa baa kwa mrombo naangalia mechi ya aseno.. Kumbe baba yuko chumbani kwa Neema anabanjua amri... Baba: Haloo mama uko wapi? Mama: Niko saluni mme wangu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mtu umekaa na dada yako au mwanamke unayemheshmu mnapga story,anakuja mtu anaanza ooh ninauza dawa za kuboost nguvu. Tena anamwambia sista eti mwambie jamaa anunue. Fikirieni bwana si kila ukiona...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Dear JF (MMU) Friends Inahuzunisha lakini kuna fundisho kuukwetu sote. "Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Naitwa Mariam (24) naishi Moshi na niko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanaume ambaye umri wake ni miaka 48, kwa maana kwamba amenizidi umri mara mbili. Yeye anaitwa Benard. Uhusiano wetu...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Eid mubarak wana MMU ,Tubadike wakuu tusiwe na fikira duni za kizamani kuwa wanawake wawe tegemezi kwa kila kitu kwetu , kama mwanaume umemuoa mwanamke asiye na kipato chochote basi muwezeshe sio...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
utakuta mtu anaita lugha yake ya kuzaliwa za makabila, ati, 'kilugha', maana yake nini? afu sisi twajiita waafrika weusi mbona wengine hatuwaiti wazungu wekundu bali weupe kwanini tunaangalia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau. Kwa walio wengi hapa ni vijana wa dot com sijui kama wengi wenu mmewahi ku experience ndoa za wake wengi (ndoa za mitala or polygamy) Mimi baba yangu alikuwa na wake watatu Mungu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
mwenzenu mwanzo nilikuwa modo wa ukweli .. waif alinipenda sana!!!! baada tu ya kupata haka kakitu, waifu naona anabadilika kweli! no more Smile, kwenye majamboz ndo kabisaaa, anazingua! ushauri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari kwenu waheshimiwa na msio waheshimiwa..! Jana nilitoka out na mchumba wangu, Tulipo fika sehemu ambayo tulikua tumepanga kwenda kutembelea na yeye ndie alipachagua tuka mkuta Jamaa ambae...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Nimatumaini yangu kwamba nyote mu wazima wa afya, lakin pia napenda kutoa pole zangu nyingi sana kwa mpendwa wetu mtangazaji wa ITV ufoo Saro kwa dhahama iliyomkuta. Pole sana na Mungu akuafu...
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Jamii imejaa uongo,usaliti,zinaa,roho mbaya. UNATAFUTA MPENZI MWAMINIFU SAWA lakini unamtafutia wapi?utarudi kwenye jamii hiihii iliyojaa usaliti,zinaa,uongo na tamaa. nani tumlaumu?Tunawalaumu...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
two wapenzi,mumealikana kwa mazungumzo,mpo pamoja,sasa wewe unakuwa bussy na simu yako muda wote,mpaka mwenzio anaanza kufikiria si wa muhimu kwako,unaongea neno moja alafu unatumia dakika tano...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
^^ Have you ever tried to wonder what is in woman's mind? Take note of reasons why women do not always want men to know about them .... WOMEN GET JEALOUS AS HELL They might deny it (they say...
0 Reactions
4 Replies
897 Views
Wakati naanza mapenzi..first wangu alikua mwembamba sana...kusema ukweli siku enjoy chochote.Na ikanifanya nione mapenzi si kitu. Ikafika time nikaja Dar kusalimu ndugu. Ndipo nikakutana na mpenzi...
2 Reactions
51 Replies
12K Views
Back
Top Bottom