Mke wangu mjamzito hamu yangu ya mapenz imeamka isivyo kawaida

Mke wangu mjamzito hamu yangu ya mapenz imeamka isivyo kawaida

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
543
Reaction score
652
habr zenu wana
jf mimi katka
miez ya hv krbun hamu yangu ya mapenz imepanda sana na mke wangu ni mjamzto anakarbia kujfungua sjui nfanye nn mpka nafkria kununua madada poa il kutuliza mzuka wangu wa mapnzi
 
Uandishi huu ni sijui wa ki facebook?back to the topic sasa inakuzuia nini usimgegede mkeo ?au mimba aliyonayo umebambikiwa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
^^
Kununua madada poa ni vema tatizo ni kuwa unapewa nyongeza ya uteja ya VVU.
Hivi uvumilivu wako umeishia wapi? Hivi kama mkeo ungekuwa safari akazidiwa nae aje kuomba ushauri wa aina hii?
ONA AIBU kidogo..Hata kama si kwa mkeo basi kwa Mungu

Mkeo kuwa mjamzito inakuzuia kukutana nae kimwili?
Any way MTUNZIE MKEO HESHIMA YAKE TAFADHALI.
Jifunze kuzishinda hisia zako.
 
Mkeo kuwa mjamzito inakuzuia kukutana nae kimwili?
Any way MTUNZIE MKEO HESHIMA YAKE TAFADHALI.
Jifunze kuzishinda hisia zako.

^^
Hee mbona kama naambiwa mimi tena? Eligi ulikuwa unaongezea au
^^
 
Last edited by a moderator:
Kwani we siyo mwanachama wa chama gani vilee mnakiitaga wenyewee....
 
habr zenu wana
jf mimi katka
miez ya hv krbun hamu yangu ya mapenz imepanda sana na mke wangu ni mjamzto anakarbia kujfungua sjui nfanye nn mpka nafkria kununua madada poa il kutuliza mzuka wangu wa mapnzi
tatizo lako wewe una,pepo ndio linalo kusumbua,[2] kama kweli unampenda mke wako utavumilia, nakushauri pendelea kuwa karibu na mungu,kama ni mslam nenda mara kwa mara msikitini,kama ni mkristo vile vile nenda kanisani,mwombe mungu akuondolee uyo pepo la kutamani kuzini, mkeo ni kitu chema mlindie heshima yake na umpende,utapata thawabu kwa mungu,huo ndio ushauri wangu,
 
Acha hizo wewe unashindwa kuvumilia kiasi tu. Huko kwa madada poa utakutana na mabalaa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom