Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,048
- 13,495
Umektana naye leo,ndani ya wiki unaanza hudumia kwa fujo.mara umempa mtaji,umemlpia ada bla kujua background yake. Tunajifanya atm au mpesa na tukilzwa tunalialia. Wengi wamelzwa na hawa viumbe wengne tunakufa na yetu moyoni hatusemi.tubadlike guyz