Helo,naitwa Colins nipo dar, umri 28 nipo ktk mahusiano. Nimehitimu chuo (ifm 2011) na kwa sasa ninafanya kazi. Napenda kuogelea(sana) kwenda beach,kusafiri,kutembea,kusaidia na kuona watu wakiwa...
Tumemsikia Mwazani Said leo katika leo tena akituelezea namna alivyonusurika katika ajali ya gari iliyopelekea wasanii 13 ya band ya taarab ya 5stars kupoteza maisha.Ajali hiyo ilitokea tarehe 22...
soma kwa makini mkasa huu kwa faida yako binafsi na umpendae!!!!!
mimi (sio mimi grand amour!!!) ni msichana mwenye umri wa miaka 18,miezi michache iliopita nilikutana na mvulana akasema...
Natoa ushauri nasaha,vijana wenzangu,mliyopo kwenye ajira yoyote ile,iwe ya self-employment or employed,fanyeni kazi kwa bidii mjenge maisha yenu ya baadae,msiumize akili kwa wanawake hasa wale...
Mimi sijambo kabisa na natumai hata wewe unayesoma haujambo.
Najua unajishangaa kusoma bandiko kama hili maana halina kitu chochote cha msingi isipokuwa kukupotezea muda tu.
Kwakuwa sitaki uzidi...
jamani eeh! usilolijua usiku wa giza! mm na girlfriend wangu tumekuwa na ugomvi sikuchache zilizopita,hali hii ilipelekea kutokula pamoja kama zamani,sasa jana usiku nmekula mama ntilie nikarud na...
Kulipa mahari kwa wanawake wa siku hizi ni upotezaji wa pesa sana. Kwa sababu atuwakuti bikra tena. Nafikiri swala la mahari life tu. Enzi za mwalimu mwanaume analipa mahari na familia ya msichana...
Why sex is better in hotels -- and other confessions of a constant traveler
By Susie Crane, for CNN
updated 10:03 AM EDT, Wed October 2, 2013
Domesticated but exotic, banal but never...
Wasaalam wakuu,
Nimeamini hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kama kutongoza,yaani haina uzoefu wala nini.
Kuna mrimbwende mmoja amefanikiwa kuuteka moyo wangu lakini dah!..jinsi ya kumuanza inakuwa...
Zamani ilikuwa ni wanaume waliokuwa wakilalamika, kwamba wake zao hawataki kuwapa chakula cha usiku kama wanavyotaka. Lakini baadae yaani siku hizi ni zamu ya wanawake kulalamika.
Katika nyumba...
Habari zenu enyi pambo la ndani kama watu wawaitavyo...!
Awali ya yote niwape hongera nyingi kwa kufanikiwa kupata jiko, famlia huku wengine mkiwa na watoto, wenye afya na amani tele. maana...
kweli kudumu kwenye mahusiano si kitu kidgo,,,nawavulia kofia ote wanao-count down years,,,,
kanifuata mpenz wangu mkoa nilipo tumekaa zaid ya 4 days lkn ck ya mwisho yakawa majanga kwan...
A lady went to a newspaper firm to publish her story saying "I'm looking for a man who won't beat me, leave me and who will satisfy me in bed".Two weeks later she heard a knock on her door as she...
Washikaji ndani ya JF. Mi kusema ukweli nakerwa na tabia ya baadhi ya wanawake kuomba kuongezewa fedha kununua Fenicha, Simu, Tv nk. Kinachonishangaza ni kwamba unaweza kumpa fedha za kutosha tu...
Jana nikiwa maeneo ya mlimani cty,nilimuona msichana moja ambaye umri wake ni kati ya miaka 28 or 30 black beuty fulani mrefu ! akishuko kutoka kwny gari aina ya prado akashuka na kuelekea ndani...
Mambo vipi wadau,,,yeyote ambae anaweza kunipa kampani ya mtoko usiku huu namkaribisha....mie nipo Tabata sasa ivi Oh Yeah pub opposite na Italian nimeboreeka na sina ucngz kbs,naweza move popote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.