Warembo wa kibongo bana!!

Warembo wa kibongo bana!!

Econometrician

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
17,950
Reaction score
33,803
Jana nikiwa maeneo ya mlimani cty,nilimuona msichana moja ambaye umri wake ni kati ya miaka 28 or 30 black beuty fulani mrefu ! akishuko kutoka kwny gari aina ya prado akashuka na kuelekea ndani ya jengo la mlimani cty.Badaye baada ya dakika 5 hivi akarudi alipo kuwa amepaki gari lake akaingia garini kwake badye akashuka akaenda kwa mlinzi akamuomba amwangalizie gari lake ''akampa mlinzi buku ten'' baada ya dakika kama 5 hivi ikaja gari aina ya harrier ktk lile eneo alipo kuwepo ndani kulikua na jamaa fulani hivi, yule msichana akaingia ktk lile gari wakasepa na jamaa!!. Nikajiuliza maswali ktk nafsi yangu
kama huyu ni mke/mchumba/girlfriend wa m2 inamaanisha alimuaga mumewe/mchumba/boyfriend wake anakwenda shopping badala ya shpping kaenda.. Kutupa nyavu sehemu nyngine
 
ukiona manyoya .................

ila watu wanatafuta kito.mbo cha wizi kwa gharama kubwa sana...........

otherwise awe anafanya kazi kitengo...........
 
una umri gani ww mbona hilo swali anaweza kujibu hata mtoto raha jipe mwenyewe mbunyi ww
 
Mkuu pale mlimani city wake za watu wengi ndo zao hizo,siku moja nilishuudia fumanizi la nguvu,jamaa aliingia maduka yote mle ndani,mabenk na ata kule kwenye movies,mkewe aalirudi baada ya masaa matano.
Jana nikiwa maeneo ya mlimani cty,nilimuona msichana moja ambaye umri wake ni kati ya miaka 28 or 30 black beuty fulani mrefu ! akishuko kutoka kwny gari aina ya prado akashuka na kuelekea ndani ya jengo la mlimani cty.Badaye baada ya dakika 5 hivi akarudi alipo kuwa amepaki gari lake akaingia garini kwake badye akashuka akaenda kwa mlinzi akamuomba amwangalizie gari lake ''akampa mlinzi buku ten'' baada ya dakika kama 5 hivi ikaja gari aina ya harrier ktk lile eneo alipo kuwepo ndani kulikua na jamaa fulani hivi, yule msichana akaingia ktk lile gari wakasepa na jamaa!!. Nikajiuliza maswali ktk nafsi yangu
kama huyu ni mke/mchumba/girlfriend wa m2 inamaanisha alimuaga mumewe/mchumba/boyfriend wake anakwenda shopping badala ya shpping kaenda.. Kutupa nyavu sehemu nyngine
 
Sielewi we kidato cha ngapi manake umeonyesha jinsi gani ni kilaza.
 
kama ni hivi kuoa basi waache waoaji waoe maana ntakuja chinja mtoto wa watu afu nkaishia pabaya haki ya nani. MURA HUU UPUMBAFU HUUU
Mkuu pale mlimani city wake za watu wengi ndo zao hizo,siku moja nilishuudia fumanizi la nguvu,jamaa aliingia maduka yote mle ndani,mabenk na ata kule kwenye movies,mkewe aalirudi baada ya masaa matano.
 
Hahahaaaaaaaaa! MJINI YAKE MIPANGO NA NGUVU ZAKE KIJIJINI! UNAZANI PRADO LILIVOFUNGWA JINI MAFUTA MCHEZO KUTIKISA NALO JIJI?
 
Jana nikiwa maeneo ya mlimani cty,nilimuona msichana moja ambaye umri wake ni kati ya miaka 28 or 30 black beuty fulani mrefu ! akishuko kutoka kwny gari aina ya prado akashuka na kuelekea ndani ya jengo la mlimani cty.Badaye baada ya dakika 5 hivi akarudi alipo kuwa amepaki gari lake akaingia garini kwake badye akashuka akaenda kwa mlinzi akamuomba amwangalizie gari lake ''akampa mlinzi buku ten'' baada ya dakika kama 5 hivi ikaja gari aina ya harrier ktk lile eneo alipo kuwepo ndani kulikua na jamaa fulani hivi, yule msichana akaingia ktk lile gari wakasepa na jamaa!!. Nikajiuliza maswali ktk nafsi yangu
kama huyu ni mke/mchumba/girlfriend wa m2 inamaanisha alimuaga mumewe/mchumba/boyfriend wake anakwenda shopping badala ya shpping kaenda.. Kutupa nyavu sehemu nyngine

hivi unajua kufanya research mr ZERO IQ?

wewe umejuaje kwamba yule aliyeondoka nae ni bwanaake ama ni nani yake?

kwanza huyo dada unamjua?

halafu, kwanini umejiita ZERO IQ ? nina wasi wasi na iq yako!
 
Last edited by a moderator:
Pengine hakuwa mke au mchumba au girlfriend wa mtu. Usipende kujudge kitabu kwa kuangalia cover. Na hujui mjini watu wana deals gani si ufuska tu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom