Njia ya kuusuza mtima wange!

Njia ya kuusuza mtima wange!

Hayo ni mawazo yaliyo kufa wakati moyo wako ungali hai, kwa kukumbatia punyeto kama mpenzi wako kuna siku dushelele itakufa itakua haismami kabisa so hadhi yako kama mwanaume itabakia suruali tu.vyema ufikirie kuiacha iyo kitu lakini pia kumbuka hata jogoo anatafuta kipunje cha mahindi ndio amwate dem wake akila tu nae anapiga gem so utaona ni necha ya mwanaume kutoa kitu kwa mwanamke ndo maana lazima mwanaume afait sana ili amudu maisha acha uvivu tafuta mkwanja upate raha
 
wewe piga hiyo punyetooo weee mpako uchoke alafu ukija kuoa uano kama utakuwa na uwezo wa kumridhisha mkeo,alafu uje humuhumu jamvini utuombe msaada wa kukuchapia mkeo sawa eeeh.
 
Nimecheka sana...jamii forum bana......tafuta hata wa kona baa mara moja moja...condom mbele lakini...
 
ila ww 1,000 tu unapiga mamboz o unaishi bado Tanganyika njoo Tanzania utakimbia mwenyewe
 
Nimekaa nikatafakari sana na kuamua kuendelea kuwa mpiga PURI (NYETO) mashuhuri,maana kila binti yupo after money yaani ni TRUE CAPITALIST by HEART and ORIGIN kama LARA 1 na mie uwezo huo wa kuwagharimia bado sina kwahiyo ni bora nikaendelea na haka kamchezo kangu ka PUNYETO maana kanaupa mtima wangu faraja ya ajabu sana muda wowote nitakao hadi raha.....VIVA PUNYETO! ALUTA CONTINUA

kwakuwa lengo ni kuulizisha ''mtima wako'' ni bora upige punyeto kwenye ''mtima'' kuliko kwenye maumbile mengine utayadhuru bure......
:A S-key:AKILI.
 
kwakuwa lengo ni kuulizisha ''mtima wako'' ni bora upige punyeto kwenye ''mtima'' kuliko kwenye maumbile mengine utayadhuru bure......
:A S-key:AKILI.


Pata ushauri wa mwana saikolojia.
 
Duh, mkuu wanaume ni wachache, wakati wanawake ni wengi, unataka na wanawake wajichue? Mkuu mungu aliweka hayo mambo kwa maslahi ya wote, wanawake na wanaume! Acha ubinafsi huo.
 
sasa tatizo ni kwamba wanawake wenyewe wachoyo sana wa papuchi zao hali inayopelekea mimi kufanya hivi mkuu
mkuu huo uchoyo ni kwa wanawake wote? Mi nadhani umeathirika kisaikolojia, inakufanya usiimbishe ipasavyo kwa wadada ili wasiwe wachoyo kwa vile unaona una mbadala!
 
mkuu huo uchoyo ni kwa wanawake wote? Mi nadhani umeathirika kisaikolojia, inakufanya usiimbishe ipasavyo kwa wadada ili wasiwe wachoyo kwa vile unaona una mbadala!

huo muda wa kuwaimbisha mpaka waelewe nota ndo sinaga mimi,sijui kwanini kwetu hawakunifunza kubembeleza?
 
We endelea tuu... Kwa hiyo gear uta improve faster ... Ikifika stage ukiona paja la mwanamke tu!... Unapiga bao....
ujue hapo umekua gwiji saasa!.
 
MIss CHAGGA sasa ntafanyeje na u-mtima wangu unataka uridhike? Nyie ndo hamtaki makapuku!
wanawake wengi wewe wa kila bei na wanatoa bure wapo hiyo utakuja kujuta mkuuu umepata demu mdudu huo hausimami peke yake kuonyesha maringo yake.
 
I dont think, if he really do that, otherwise i thought he wanted to trape our views.
 
Nimekaa nikatafakari sana na kuamua kuendelea kuwa mpiga PURI (NYETO) mashuhuri.....VIVA PUNYETO! ALUTA CONTINUA

We endelea kuukaribisha UHANITHI kwa kujitakia...
 
i dont think, if he really do that, otherwise i thought he wanted to trape our views.

huwa sitanii maisha mkuu........ni ukweli ulio wazi yani kwa kikristo ningesema it is naked true.
 
Back
Top Bottom