chovya chovya... humaliza buyu la asali!

chovya chovya... humaliza buyu la asali!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,958
soma kwa makini mkasa huu kwa faida yako binafsi na umpendae!!!!!

1380104_640765175968745_428101590_n.jpg

mimi (sio mimi grand amour!!!) ni msichana mwenye umri wa miaka 18,miezi michache iliopita nilikutana na mvulana akasema kapenda maumbile yangu(na nikweli Mungu kanijaalia na mvuto) tukafanya sex siku hiyo hiyo tuliokutana na ikawa kama kamchezo kwe2(with no strings attached),kavu kavu bila lailoni. . .lakini muda huo nilikuwa natembea na mwanachuo mmoja hivi kusema ukweli nampenda mpaka kesho na sex life yetu ilikuwa nzuri tu,lakini kabla ya hapo,kuna mvulana mwngne ambae ndo alinibirikisha nilikuwa nae na tulipigaga kavu mara nyingi tu hapo mwaka jana. . .
Sasa juzi juzi nikaona kitu ambacho si cha kawaida kwenye uchi wangu,ni vipele si vipele havitoi usaa wala maji maji hata kuuma haviumi,ndipo nikasema nikamwone daktari nae akaniambia ni gonjwa la zinaa ambalo linatibika ndan ya wiki 1 ila maumivu yake ndo utaaomba poo,
kwasasa nipo kwnye matibabu,na uchi wote umevimba,periodz zinatoka nawashwa sijui nikune wapi niache wapi,nimebaki tu kunawa nawa kila baada ya lisaa limoja!

ugonjwa nilionao si kaswende wala kisonono wala ukimwi,unaitwa Human Papiloma Virus(HPV) zipo aina ya virusi hvi takribani 100 ivi,na wanauwezo wa kusababsha saratani na huu nilionao hausababshi saratan(bali hvyo vipele pele) ambavyo vinaboa pindi unapokuwa unafanya mapenzi na mwanaume wako,kama unahistoria kama ya kwangu,ya dalili ya huu ugonjwa au idad ya wanaume uliolala nao,basi wahi hospitali haraka,vinatibika,
hasa wasichana wenye umri wa miaka (15-22) na wanaume wenye miaka (20-24)!!!

kazi ni kwenu wana jf!!!!
 
Katika zama hizi uambukizwe magonjwa ya zinaa uukwepe ukimwi,aah wapi?.wewe lazima na ukimwi utakua nao tu,afterall ukimwi ukipata leo kwenye vipimo ni hadi miezi tatu.
Mi nakushauri uishi kwa matumaini tu,matunda,mboga za majani etc. Vinakuhusu sana.
 
Pole sana. Sasa hao unaolala nao hawaumwi kama wewe?? Maanake inaonyesha mmojawapo ndiye kakuambukiza na wewe kwavile hutumii kinga, waweza pia kuwa umewaambukiza wengine. Au wote wapo katika matibabu kama wewe?
TUPO WANGAPI?? TULIZANA
 
waambie!
 
Katika zama hizi uambukizwe magonjwa ya zinaa uukwepe ukimwi,aah wapi?.wewe lazima na ukimwi utakua nao tu,afterall ukimwi ukipata leo kwenye vipimo ni hadi miezi tatu.
Mi nakushauri uishi kwa matumaini tu,matunda,mboga za majani etc. Vinakuhusu sana.

mkuu si wote wenye magonjwa ya zinaa wana ukimwi pia!

ila possibility ya kuukwaa ni kubwa!
 
Mhhhhhhhhhhh! Nimelazimika kwa kujilazimisha kusoma habari nzima, neno hadi neno nikitumai hizo GAME ZA KOMBE LA MBUZI zitaishia na wewe kusema maybe umepata GARI au kitu cha thamani,! Haaaaaaaaaaaa! Im so DISAPPOINTED!!!!!! Kwako imekuwa the higher the risk the lower the return! POLE SANAAAAAAAAAA!

Huyo bibi alievimba waweza nunua barafu kidogo litakupoza! Girl you is STU.PID!!!!!!!!! All those men for nothing! Damnnnnnnn!!!!!!!!!
 
Na we ulizidi uzinzi. Wote hao kavu kavu. Kapime ngoma
 
God damn it! Wewe akili robo,bora hata ungesema mpira ulipasuka,...kavu kavu? One on one? You good for nothing creature.
 
Mhhhhhhhhhhh! Nimelazimika kwa kujilazimisha kusoma habari nzima, neno hadi neno nikitumai hizo GAME ZA KOMBE LA MBUZI zitaishia na wewe kusema maybe umepata GARI au kitu cha thamani,! Haaaaaaaaaaaa! Im so DISAPPOINTED!!!!!! Kwako imekuwa the higher the risk the lower the return! POLE SANAAAAAAAAAA!

Huyo bibi alievimba waweza nunua barafu kidogo litakupoza! Girl you is STU.PID!!!!!!!!! All those men for nothing! Damnnnnnnn!!!!!!!!!

kazi wanayo hawa watoto wa kileo!

hivi mnaona chomoa..... chomeka.... chomoa... chomeka huku kitu ikiwa mbichi mbichi ni raha eeh?

sasa dhara hilo kwenu!
 
Hapo ndo wasichana wanichosha,,,, gonjwa la zinaa zama hizi za digital khaaa!!!!!!!!!!
Vivulana vyenyewe vitoto no money si ajabu hata hosp anakuhudumia baba ako mzazi
S
Kuna hiyo papucci then chemsha maji ya uvuguvugu nusu beseni weka chumvi pakti moja na limao3 kaa kwenye hilo beseni kwa mda wa nusu saa fanya hivo mfululizo siku3 ni dawa nzuri na itakusaidia kupona haraka huku unatumia dawa za hosp

Nb; next time date wanaume watakao kupa maendeleo such as car,, house, kiwanja na biashara au mtaji..
 
dada umemshauri mwenzio vizuri!

ila sasa wewe uko too much after money!!!

kwanini wanaume tuu ndio tuhangaike kutoa magari, nyumba, mitaji na mengineyo?

why dont we fight together?
 
dada umemshauri mwenzio vizuri!

ila sasa wewe uko too much after money!!!

kwanini wanaume tuu ndio tuhangaike kutoa magari, nyumba, mitaji na mengineyo?

why dont we fight together?

Ni fight na nani????????
Vijana wa zama hizi ukichuma nae kwa jasho atatafuta wa kuzitumia nae............ so no need of!!!!!!!!!!!!!!!
 
Katika zama hizi uambukizwe magonjwa ya zinaa uukwepe ukimwi,aah wapi?.wewe lazima na ukimwi utakua nao tu,afterall ukimwi ukipata leo kwenye vipimo ni hadi miezi tatu.
Mi nakushauri uishi kwa matumaini tu,matunda,mboga za majani etc. Vinakuhusu sana.

usimpe kavu kavu za uza uso kiasi hivyo, dah!
 
Wanakavu kavu na STD's

Siku nyingine baada ya kupona tumieni kale
"KAMFUKO"(KONDOM)
 
Hawezi huyo fanya na mpira. halafu ukikosa ukimwi najitoa membership jf.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom