Kwanini tunalipa mahari? Should be stopped!

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Kulipa mahari kwa wanawake wa siku hizi ni upotezaji wa pesa sana. Kwa sababu atuwakuti bikra tena. Nafikiri swala la mahari life tu. Enzi za mwalimu mwanaume analipa mahari na familia ya msichana inasubiri kusikia habari nzuri kwamba mtoto wao still bikira. Kama binti anakutwa siyo bikra mahari inarudishwa. Lakini siku hizi kila kitu mambo yamegeuka sana and we still pay the dowry.

Wanawake wa siku hizi kila kukicha wanataka usawa, kwa nini tulipe mahari? Wengine wakiolewa wanaendelea kutumia majina ya baba zao na ukoo wao, kwa nini tulipe mahari? Mahari is like slave trade, mwanamke anauzwa. Kwa nini wanadhalalishwa?
Mahari kwa sasa zimekuwa juu sana mpaka vijana sasa wasio jiweza wanaogopa kuacha ukapera.

Dowry Should be stopped
 
kwa umasikini wa familia za kiafrica hii kitu haiwezekani kukoma alafu inauma sana umemtolea mahari kuuubwa alafu kitu yenyewe MTUMBA alafu kanakujan ndani kanaanza kanyanyua sharubu kama yeye ndo alitoa mahali
 
Yaani hilo swala la kutokuwakuta bikra sio ishu.. Maana umempenda mwenyewe.. Ishu ni pale baada ya kuoa unakuja kugundua umeoa bomu.. Malumbano, Kicheche, mcharuko... Kitu ndoa ya kikristo.. Balaa!
 
Anaepaswa kulipa mahali ni yule anaejua maana ya mahali. Vijana wa siku hizi mnadhani mahali ni kununua mtu. Binadamu hawezi kuuzwa hata kwa mapesa yote duniani.
 
Bikra awe mwanamke tu why? Hata mwanaume pia anatakiwa akutwe bikra bana.

Halafu swala la mahari linaumuhimu wake na inamletea mwanamke heshima kwenye familia yao na kwenye ndoa yake pia kuliko ukimchukua bure yaani anaonekana si wathamani
 
mrmrs-1st-feb-bride-price1.jpg
 
Kulipa mahari kwa wanawake wa siku hizi ni upotezaji wa pesa sana. Kwa sababu atuwakuti bikra tena. Nafikiri swala la mahari life tu. Enzi za mwalimu mwanaume analipa mahari na familia ya msichana inasubiri kusikia habari nzuri kwamba mtoto wao still bikira. Kama binti anakutwa siyo bikra mahari inarudishwa. Lakini siku hizi kila kitu mambo yamegeuka sana and we still pay the dowry.

Wanawake wa siku hizi kila kukicha wanataka usawa, kwa nini tulipe mahari? Wengine wakiolewa wanaendelea kutumia majina ya baba zao na ukoo wao, kwa nini tulipe mahari? Mahari is like slave trade, mwanamke anauzwa. Kwa nini wanadhalalishwa?
Mahari kwa sasa zimekuwa juu sana mpaka vijana sasa wasio jiweza wanaogopa kuacha ukapera.

Dowry Should be stopped

mbona unazini na wasichana huoni haya kuwaondolea bikra zao?? anza ww kuwa muugwana usizini na wasichana hadi utapooa
 
Yaani ni mila potufu na dhana ya kuuza mwili kwa mwanamke inaanzia hapo!!
 
si mila tu hii kitu ipogo kabla hata Yesu hajazaliwa.. Ila nyie walimwengu ndio mnapotosha dhima nzima ya mahari
 
Hiyo bikira nani anamtoa km sio mwanaume? Km unataka kuoa bikira tafuta bikira umuoe. Km ulijua sio bikira unalalamika nini?
 
kwa umasikini wa familia za kiafrica hii kitu haiwezekani kukoma alafu inauma sana umemtolea mahari kuuubwa alafu kitu yenyewe MTUMBA alafu kanakujan ndani kanaanza kanyanyua sharubu kama yeye ndo alitoa mahali

Au bora mtu uwe unapewa kwa mkopo, manaake mtu unatoa hela ndefu, tena bado anakusaliti mara leo hivi kesho vile mpaka mtu unasema dah! kama ni mke basi nimekosea na kama ni bidhaa basi haina thamani
 
hivi wewe unafahamu maana ya MAHARI au unabwabwaja utafikiri umetiwa MORTA
yaani kunifanya mie nitoe mimacho kusoma thredi hii kumbe ni maloloso tu hapa.

Kulipa mahari kwa wanawake wa siku hizi ni upotezaji wa pesa sana. Kwa sababu atuwakuti bikra tena. Nafikiri swala la mahari life tu. Enzi za mwalimu mwanaume analipa mahari na familia ya msichana inasubiri kusikia habari nzuri kwamba mtoto wao still bikira. Kama binti anakutwa siyo bikra mahari inarudishwa. Lakini siku hizi kila kitu mambo yamegeuka sana and we still pay the dowry.

Wanawake wa siku hizi kila kukicha wanataka usawa, kwa nini tulipe mahari? Wengine wakiolewa wanaendelea kutumia majina ya baba zao na ukoo wao, kwa nini tulipe mahari? Mahari is like slave trade, mwanamke anauzwa. Kwa nini wanadhalalishwa?
Mahari kwa sasa zimekuwa juu sana mpaka vijana sasa wasio jiweza wanaogopa kuacha ukapera.

Dowry Should be stopped
 
bora umwambie huyo asiyejua maana ya mahari nini
ana akili za mgando tu
Hiyo bikira nani anamtoa km sio mwanaume? Km unataka kuoa bikira tafuta bikira umuoe. Km ulijua sio bikira unalalamika nini?
 
Kulipa mahari kwa wanawake wa siku hizi ni upotezaji wa pesa sana. Kwa sababu atuwakuti bikra tena.

Leo utapinga kulipa mahari, kesho utapinga kusiwe na ndoa....
 
Hiyo bikira nani anamtoa km sio mwanaume? Km unataka kuoa bikira tafuta bikira umuoe. Km ulijua sio bikira unalalamika nini?

hahaaaaaaaaa umenichekesha lol......naona hizo bikra tunatolewa na wanawake wenzetu
 
Hivi nini maana au tafsiri sahihi ya MAHARI? Je, Wahindi kwa mila zao wanaolipa mahari ni wanawake, yaani familia ya binti anayeolewa ndiyo inayolipa mahari kwa familia ya mwanaume anayeoa. Kama mahari ni kununua bikira, je bikira ya mwanaume inakuwa wapi na watajuaje kuwa alikuwa bikira?
 
hivi wewe unafahamu maana ya MAHARI au unabwabwaja utafikiri umetiwa MORTA
yaani kunifanya mie nitoe mimacho kusoma thredi hii kumbe ni maloloso tu hapa.
JF Senior Expert Member
 
Back
Top Bottom