mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,221
- 4,695
Mambo vipi wadau,,,yeyote ambae anaweza kunipa kampani ya mtoko usiku huu namkaribisha....mie nipo Tabata sasa ivi Oh Yeah pub opposite na Italian nimeboreeka na sina ucngz kbs,naweza move popote Dsm hii ila isiwe Leaders club cz kule kumejaa vurugu na watoto....nafasi ipo kwa wasichana tu,itakuwa vema kama upo kiwanja flan tayari...gharama nasimamia mimi..niPM au ata apa. sio mbaya .