Mwanamke ni nyonga.

Mwanamke ni nyonga.

Hivi vita vitaisha lini hapa jukwaani??? Men vs Women mnamatatizo gani? Kaeni chini myamalize
 
kweli sura nitapiga carolite
kifua nitatumia silicon
inye nitajaladia
miguu je? kama una fito ni fito tu
Hata ukijaladia, mi najuwa kuwa umejaladia..??? Kama nimekukuta na fito a.k.a mabomba ya peni, ni hivyo hivyo tunabanjuka.... Kwanza kujaladia hakuongezi loloti kitanda, nambaya zaidi kitandani unatoa majalada yoteeeee...
 
Enheee na ukate tu tamaa, vya watu hivyo... Kama huna hela wanawake wazuri hapa mjini utaishia kuwaita shemeji tu...

yaani mkuu acha tu,ukiona heaven on earth alivyotokelezea kwenye avatar anatamanishaje?afu ndo keshanikatisha tamaa ukizingatia usawa huu wa kuunga unga...
 
Hata ukijaladia, mi najuwa kuwa umejaladia..??? Kama nimekukuta na fito a.k.a mabomba ya peni, ni hivyo hivyo tunabanjuka.... Kwanza kujaladia hakuongezi loloti kitanda, nambaya zaidi kitandani unatoa majalada yoteeeee...

Hahahaa
Mi nacheka tu leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom