kaz kwel kwel!

kaz kwel kwel!

Mr Eggo

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
2,027
Reaction score
1,052
kweli kudumu kwenye mahusiano si kitu kidgo,,,nawavulia kofia ote wanao-count down years,,,,
kanifuata mpenz wangu mkoa nilipo tumekaa zaid ya 4 days lkn ck ya mwisho yakawa majanga kwan aliiifuma txt nlimtumia dem 1 iv wa uk uk kwamba leo kiwanja bi mkubwa atakua amesepa(pesa ya kuntia kibur c ipo!),,
Mpenz karud leo moro ila ndo ivo ful kutokuniamin,,,naona mpaka aibu coz alikua ananiamin sana na kilichotokea hata akiendelea na mm hatakaa aniamin,,,
wasalaam
 
Ahaa koma umezidi sijui mnaona kuwa na vimada kibao its a big deal
Trust is like virginity once lost it cant be gained back
Utamshawishi akuamini lakini yu can never clear the dobt in yu
#Lara1 i missed yu😉😉
 
Back
Top Bottom