Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hebu vuta picha unaweka ahadi na demu au mpenzi wako mkutane.hamba simu.usiku giza no umeme.unakaa unasubiri wee kumbe mwenzako katumwa wilaya ya pili mpaka ujue usha choma maindi kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana Jf, nawaombeni kunisaidia kunitafutia rafiki yangu niliyepoteana naye toka 1998 anaitwa AWADH OMAR MFANGAVO Kwa mara ya mwisho alikuwa anafanya kazi posta na simu Dar es salaam.&#8203...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wote, Lengo la kuja hapa mnisaidie kufanya maombi/ kusali nisi-cheat. Niko arusha kikazi (semina)kwenye hoteli moja maarufu mjini, sasa nimekutana na mtu ambaye tululikuwa lovers...
4 Reactions
83 Replies
7K Views
mm ni kijana mwenye umri wa miaka 26, natafuta rafiki kwa ajili ya kuchati, kubadilishana mawazo n.k kama upo interested ni-pm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Awe rafiki sana: -Niweze kumuamini na kumtegemea pale inapobidi -Niweze kuzungumza naye hisia zangu bila kificho -Tushirikiane katika hali mbalimbali inapofaa -etc.. Ikiwezekana awe mke kabisa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tuna mazoea ya kufanya mambo bila kujiuliza sababu ya kuyafanya,lakini hatuna mazoea ya kujiuliza ni kwanini tuna hayo mazoea ya kufanya hayo mambo bila ya kujiuliza wakati tuna akili timamu...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Inahuzunisha sana wanajamvi, mpenzi wangu alifariki ghafla. Alikuwa na tatizo la moyo alilokuwa anatibiwa kwa miaka 4, Nataka kushare shairi nililoliandika leo, toka nimeanza liandika asubuhi...
5 Reactions
82 Replies
6K Views
habarini wapendwa..... leo ningependa kujua WANAUME wa kabila gani wanajua mambo kunako 6*6,......na wanaume wa kabila gani HAWAJUI/WABOVU kitandani....................manake kwa wanawake...
0 Reactions
64 Replies
10K Views
jamani kama mjuavyo nyumba nyingi za kupanga zilizo huku uswahilini vyoo na mabafu ni vya kushare yani unakuta nyumba ina vyumba kumi na mbili ila choo na bafu ni kimoja manake mtashare na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Natafakari kiungo kinachofanya mtu aitwe mwanamke jinsi Mungu alivyokiumba.. ni ajabu. the way kimetengenezwa na ufanyaji wake wa kazi pamoja na umbile lake; hakika sifa apewe Muumbaji...
2 Reactions
63 Replies
5K Views
Wanaume wana matamanio na wanawake wanamatanio sasa inakuwaje wanaume ndo wanaotamani sana wanawake?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Bwana Yesu asifiwe.... Asalaam Aleikum.... Tumsifu Yesu Kristu... Story ya kweli kabisaaaa..... Iko hivi, kuna mdada mmoja alitoka katika familia ya kifukara sana Usukumani (Bariadi)...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Uso kwa mwanamke ni eneo muhimu sana, wenyewe wanaita reception, na ndio maana maduka ya vipodozi yameongezeka sana huko mitaani kwa sababu soko lipo. Ukitaka kumtisha mwanamke mwambie ngozi ya...
13 Reactions
80 Replies
12K Views
!Kuna wanaume wanayo taabia ya KUTEMBEA NA WAKE ZA WATU. Kuna kasumba moja imetawala vichwa vya tulio wengi: Sasa uchunguzi umedhihirisha wazi kwamba MWANAUME anae chukua mke wa mtu ndiye...
4 Reactions
103 Replies
16K Views
Kumekua na tatizo kwa siku hivi karibuni kutokea matukio ya mauaji kwa Wanawake au Wachumba. Kuna matukio mengi ambayo yanatokea kwa wanawake au wasichana kufanyiwa unyama wa Mauaji na wachumba au...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam wana JF. Mimi ni mwanamke mwenye umri miaka 48 ambaye naishi na VVU natafuta mwanaume wa kuishi nae au kufunga ndoa, kama yupo tayari. Awe na umri kuanzia miaka 50-55, kwa ufupi nilikuwa na...
9 Reactions
82 Replies
9K Views
Ama kweli M/mungu aliumba bhana khaaaaa!!!!!
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Kuna mdada msenegal kaniomba msaada. Yeye ni yatima baba yake enzi za uhai alikuwa mfanya biashara wa madini katika maswala ya urithi aliandikwa yeye. Sasa kuna pesa ziko scotland 4200000 milion...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni janga ambalo limemkuta my best frind, alikuwa na house girl ambae kwa muonekano tu unaweza kusema she is very innocent. Ameishi nae for 3 years na amemlelea watoto wake 2! Majuzi huyo msichana...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
mara ya kwanza aliniaproach nimekaa nae kama mwez mmoja akaanza mizinga ya vocha,mara una elfu kumi ya fasta,unitumie,mara sehemu nilipo nimbal na duka nirushie vocha,nikajua ni kwel...
4 Reactions
63 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…