Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna mtu huwa ananitumia Messages, mara ananisalimia, mara ananiambia forward kwa watu hamsini utabarikiwa, messages kibao zingine hazina kichwa wala miguu. Nikijaribu kuchunguza, kwa kweli hiyo...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mwenzenu nimeingia kwenye mahusiano na moyo umependa jumla, ila huyu mpenz anawaza ngono 24*7. Hapa nina mpango wa kujiweka pembeni kabisa sababu naona yamenishinda , Hivi wanaume siku hizi...
2 Reactions
68 Replies
5K Views
Kuolewa kuna maana gani? Mwanaume anaposema 'siwez kupika (mfano) kwani mi ndo nimeolewa?' Does it mean kuolewa haina tofauti na kua mtumwa wa mwanaume? Does it mean wanaume wanaoongea hayo...
5 Reactions
100 Replies
9K Views
Kuna mdada wa senegal alikimbia vita liberia yupo senegal kwenye camp ya wakimbizi sasa kuna pesa ziliachwa na wazazi wake bank ya scotland na kwenye urithi aliandikwa yeye. Siku akatuma maombi ya...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
  • Closed
Kama kichwa cha habari kinavyosema........nimewaza kwa nguvu........nia na dhumuni ni kusocialize.....YES..... Kama wanawake........tunahitajiana kwa njia moja au nyingine.......katika maswala...
23 Reactions
142 Replies
9K Views
Kuna tatizo la wadada wengi kutoolewa siku hizi na kuishia kuona ndoa bongo movies na kwa wengine tu japo nao wanahitaji. Sababu sababishi ni hizi zifuatazo: 1. Umri Mdada akishafikia umri kuanzia...
4 Reactions
55 Replies
6K Views
#Majanga , Naomba nifunguke kidogo. Huko nyuma kuanzia miaka ya 1990 masuala ya uasherati yalikuwa katika kiwango cha chini sana tofauti na sasa ambapo rate ya uasherati imepamba moto sana...
0 Reactions
44 Replies
12K Views
Anayejua anijuze mana ya miss u au nimekumiss kwa lugha ya taifa
0 Reactions
25 Replies
20K Views
Sura hiyo hapo ni ya mwanaume. Bila shaka umeshawahi kukutana na sura kama hii katika maisha yako. Kama hujawahi kukutana nayo huenda kuna siku utakutana nayo. Mwanaume mwenye sura kama hii ana...
14 Reactions
129 Replies
35K Views
aliye tayari ani PM pls!!
0 Reactions
2 Replies
788 Views
wasalaam wakuu.....nashindwa kuelewa wakuu...kuna jamaa yangu mmoja tunakaa naye kitaa ambaye mwenzetu yupo kwenye ajira hapo bandarini..sasa kumbe jamaa kaambiwa atafute vijana kama kumi wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kichwa cha habari kinajieleza. Kikubwa awe na utayari wa kuwa katika mahusiano na japo awe maeneo ya Geita,Mwanza na Shinyanga(lakini siyo lazima).Uaminifu pia ni kitu muhimu anachotakiwa kuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila msichana ninayekua nae, baada ya wiki moja mbili ya kufahamiana, utasikia tumbo la hedhi, mara vidonda vya tumbo, mara kipanda uso, miguu inauma, kifua kinabana, mara chango etc. Ivi kitendo...
1 Reactions
104 Replies
10K Views
Mambo vp wana JF, Mwaka 2008,nikiwa kidato cha sita ilitokea kuwa na mahusiano ya kimapenzi na msichana mmoja aliyekuwa kidato cha tano,tulipendana sana na kuweka maazimio mbalimbali yakiwemo ya...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nina siku nyingi sana usingizi kwangu shida, hamu yakula sina,hata utendaji wangu wa kazi unapungua sana, sababu kubwa ndoa yangu jamani,nalazimika kutengana na mume wangu hali bado nampenda. mume...
19 Reactions
129 Replies
26K Views
Good music is the food to the soul, enjoy it!
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Vijana wanaougua saratani ya njia ya haja kubwa waongezeka WANAFUNZI wa sekondari wa kike na kiume ni miongoni mwa wagonjwa walioathirika zaidi na saratani ya njia ya haja kubwa wanaofika...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
kwa aliyetendwa kama mimi Ili tuweze kufutana machozi, Ili tusaulishane yalotukuta, pia tupange PRESENT, FUTURE yetu na tusahau yalopita. a garl aliyepitia nilopitia ANAKARIBISWA!!!...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jaman wadada wenzangu mimi nimeolewa mwaka wa pili sasa,tatizo ni kwamba kwenye kufanya mapenzi nina kiuno kigumu aisee mpaka huwa nahic simridhishi mme wangu japo hajawah kuniambia!nisaidieni...
1 Reactions
86 Replies
23K Views
Warembo mpoooo?? Leo nimekumbuka mbali kidogo miaka ile ya nyuma mlikuwa mkitongozwa mnasema " nina mtu" au " acha nijifikirie maana nina mtu" hizi kauli saivi zimeishia wapi??? hahahahahaha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…