Najiuliza sana....!!!!

Najiuliza sana....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,

for a longtime now nimekua najiuliza sana hili swala, kwamba why on earth players (wanaume mambo mengi) always get hot chicks na pia sometimes wanawake wanakua wanajua kabisa jamaa ni player lakini ndio wanazidi kua attracted zaidi ya law of magnetism. Point of reference; i have this friend of mine since vacity miaka ya juzi, huyu jamaa utadhani ana ngekewa yani (yeah and he got the looks too).

Huyu jamaa siku zote hua namshangaa the way ana date hottest chicks mpaka najiuliza anatumia dawa nini (just humour). Juzi huyu jamaa wangu amefanya birthday party so akatualika friends tukajumuike nae.

Akiwa na mpenzi wake rasmi wa sasa (kiukweli huyu dada ni mzuri balaa) high table, nilichoka nilipoona side kicks (mademu zake wa pembeni) nao wametimba tena yaani bila kujishtukia na wakaenda kila mmoja kwa wakati wake kumsalimia jamaa huku huyu mpenzi wake sasa akiwa hajaisoma siri ya mchezo.

Wengine wakawa wanamtext pale pale akawa akiniforwadia texts mi nacheka tu nna kushangaa maana ukioneshwa mtu mwenyewe aliyetuma text pale yaani personally unajiona kabisa you dont stand a chance at all!

Back in days kidogo wakati tuko chuo, ofcourse huyu jamaa tangu kipindi hiko mademu wote chuoni walikua wanajua ni player lakini still akawa anawakamata.

Sitosahau kuna dada mmoja hivi alikua na born-again swags nikajaribu kutupa ndoano akawa ananiletea habari za udini so ikabidi nibadilike ili niweze kucope nae.

Lucchese nikaanza kupinda ukosi fresh, siku moja moja tai na my 32GB iPod nikaiformat nakuweka gospel songs tupu ilimradi tukiwa tumekaa wote labda class flani tunajisomea kama ni usiku basi tunashare earphones kula gospel mwanzo mwisho and most of the time akawa ananiazima akasikilize mi nikawa naona poa tu (mwamba ngoma.....).

Sasa kwa kua most of the time alikua ananiona na yule mshkaji wangu akaaanza katabia kakuniuliza uliza kuhusu jamaa like "rafiki yako player eeeh?, nyie si company moja kwaio nawewe kicheche? etc."

Basi haya maswali nikaona yanaweza kuniweka hatarini kufeli mission yangu so nikawa najitahidi most of the time around campus kua mbali na rafiki yangu ili nisijiharibie mpango thou sikumwambia yule rafiki yangu kuhusu mission yangu (classified information on need-to-know basis).

Siku zikasogea na wakati siku ambayo nimepanga kesho yake nijitoe mhanga (martyr) kumchana mtoto, the night before nikawa nimekaa na mshkaji room tunapiga story.

Jamaa akaniambia kuna mtoto mmoja hivi anamletea shobo za hatari, ni pini la uhakika sema ana swaga zakidini. Moyo ukashtuka kidogo ila nikajifanya naitikia tu, jamaa kunionesha convo kwenye whatsapp kudadesa nikakuta ndio yule yule ambaye mi nilikua namfuga kumbe nambwela tu.

Kilichofata kesho yake nilienda kumuomba iPod yangu, nikarestore album zangu za morgan heritage na kwanzia hapo nikakata ringi kabisa.
So wadada tell me sababu siielewi psychology yengu, i mean like how on earth would you date a guy ambaye unajua kabisa hajatulia?

Nb: Naskia wadada mna kamsemo kenu kwamba BAD BOYS AIN' GOOD, GOOD BOYS AIN' FUN. hebu naomba mni-elaboratie basi! Sorry for long post, wish y'all a blue monday.

Regards,
Don Lucchese
 
LIFE IS ABOUT MOMENTS!!!!!!!!!!!! At 70 yrs all you will have is your memory! You better make them count!

Sasa Bad boys give you the life you can only imagine! Your wildest imaginations are brought to life. You need to pinch yourself kujikumbusha kuwa huoti!

Kuna badboy mmoja muuza whitesugar aaaaaaaah! He gave me the time of my life! (Before you think anyworse of me, just be informed i was 19 back them! He took advantage of me! You should actually feel sorry for me! LOL!) Acha kabisaaa! Bata batani! Viwanja hata 7 hadi 8 kwa usiku mmoja! Inakuwa sasa kama wakaguzi. Mkiingia mahali hata beer haishi mshahamia pengine. Mmmmmmmmh! Kila sehemu nyie VIP tu! Daaaaaaaaah!Good boy gani ana ushuzi wa kukupa hayo maisha! Sema ndo hivo i grew up, and became too old for the shit!(Maybe for him too!)

Good boys are good husbands! Yaaaah! Yaaah! Yaaah! What a BORING happily ever after! A sister gotta choose! And always will choose the less risky! Haaaaaaaaaah! (Yawns! and goes back to slumbering)
 
Daaamn, u killed it!
 
Damnit! Sijui kwanini Eiyer

Umeyaona majibu?
 
mkono mtupu haulambwi ila kama una asali utalambwa mpaka mkono uishe
 
...(1) born-again swags nikajaribu kutupa ndoano akawa ananiletea habari za udini so ikabidi nibadilike ili niweze kucope nae (2). ........ "rafiki yako player eeeh (3)?........Kilichofata kesho yake nilienda kumuomba iPod yangu (4), nikarestore album zangu za morgan heritage (5)
Don Lucchese

1. Sio wote waitao bwana bwana .......ukadhani wanamatendo yanayolandana na kile wakisemacho
2. Kubadili sera zako ili ku-win nafsi ya mtu....be who you are (mapenzi ya kujifanyisha siku utaumbuka)
3. Tell me your friends i will tel you who you are....unafwata sera za mwenzio katika kutafuta 6 x 6
4. Kunyang'anya vitu ulivyomnunulia kwa sababu tu ya tukio fulani (material things vs matamanio vs love) kumpa iPad ndo akupe game? kuweka nyimbo za dini...
5. Kurudia asili yako...baada ya kushindwa

.....in order to be romantic you don't need to act like so and so..just train yourself as you had started using a computer, etc till you become experienced
 
donlucchese bad boys know how to play with chick okey,...... he knows were to start and were to end and he don't care kukubaliwa au kukataliwa..... kama wewe pretending much with ure gospel songs wakati mwenzio anacheza raugh na anafunga.....
 
So gud guys huwa hawaspenda na hawajui kula gud times ndo mana wadada wanawakwepa?

Hahaha! Party monsters, rebels day n nyt ndo wanapendwa kwa u beast wao kumbe?
 
1. Sio wote waitao bwana bwana .......ukadhani wanamatendo yanayolandana na kile wakisemacho
2. Kubadili sera zako ili ku-win nafsi ya mtu....be who you are (mapenzi ya kujifanyisha siku utaumbuka)
3. Tell me your friends i will tel you who you are....unafwata sera za mwenzio katika kutafuta 6 x 6
4. Kunyang'anya vitu ulivyomnunulia kwa sababu tu ya tukio fulani (material things vs matamanio vs love) kumpa iPad ndo akupe game? kuweka nyimbo za dini...
5. Kurudia asili yako...baada ya kushindwa

.....in order to be romantic you don't need to act like so and so..just train yourself as you had started using a computer, etc till you become experienced

Well said, but you missing something. I wasn't trying to be romantic, I was trying to pop that thing: Improvise, Adapt and Overcome!
 
So gud guys huwa hawaspenda na hawajui kula gud times ndo mana wadada wanawakwepa?

Hahaha! Party monsters, rebels day n nyt ndo wanapendwa kwa u beast wao kumbe?

Ndio hivyo kaka kumbe vice versa is so damn true
 
Back
Top Bottom