anaweza kujiua kweli

anaweza kujiua kweli

LEVEL

Senior Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
195
Reaction score
51
Mke wangu hapendi kutatua matatizo zaidi ya kutaka kujiua, ni kama mara ya tano anatishia kujiua kisa ni kwamba akifanya kosa nikimwuliza hua hajui kuomba msamaha zaidi ya kuchukua maamuzi ya kujitoa duniani, yeye anaishi moshi but mimi nipo dodoma lakini juzi saa kumi na mbili asubuhi kanipigia simu kua anaenda tanga kwa rafiki yake ambaye mm simfaham wala sijawah kumwona, nilishangaa coz jana yake niliongea nae kabla ya kulala hakunitel iyo safari cha kushangaza asubuhi napewa taarifa ya safari wakati mtu amesha jiandaa ilibidi nimuzuie but aligoma na kwenda tanga sikupenda iko kitendo ilibidi nimaind nilipo maind wife alinitumia sms ya kutaka kujiua, jamani nimechoka maamuzi yake ushauri jamani wandugu
 
Tatizo gani hilo hawezi kutatua?? hebu yaseme hapa usijekua unampa majukumu yakwako yeye ndio atekeleze..
 
mkuu hebu tusaidie kwa kutupatia kisa kimoja au viwili ili tukusaidie nini cha kufanya
 
mke wangu hua hajui kutatua matatzo zaidi ya kutaka kujiua ni mara kama ya tano akifanyakosa nikimwuliza Badala Ya Kutatua Tatzo Hua Ananyamaza Nikichukua Maamuzi Ya Kuachana Nae Anataka Kujiua Nifanyeje?

Anatingisha kibiriti tu huyo, wanaojiuaga hujiua bila matangazo
 
mke wangu hua hajui kutatua matatzo zaidi ya kutaka kujiua ni mara kama ya tano akifanyakosa nikimwuliza Badala Ya Kutatua Tatzo Hua Ananyamaza Nikichukua Maamuzi Ya Kuachana Nae Anataka Kujiua Nifanyeje?

Anatokea Iringa? Kama kweli basi usidhani anakutania, hao ndo zao.
 
mke wangu hua hajui kutatua matatzo zaidi ya kutaka kujiua ni mara kama ya tano akifanyakosa nikimwuliza Badala Ya Kutatua Tatzo Hua Ananyamaza Nikichukua Maamuzi Ya Kuachana Nae Anataka Kujiua Nifanyeje?

Mimi swali langu ni mkoa anaotoka je anatoka mkoa gani? Kama ni Iringa basi andaa sanda kabisa
 
kujiua mchezo!!!!!!!!!!!!!

Ajabu hiyo hapo,mara tano zote hizo angekuwa na nia si angeshaenda?
Na hayo makosa anayofanya ambayo yanapelekea mume atishie kumuacha ni makosa gani hasa? Naona kama mtoa mada na mkewe wote wana tatizo linalofanana.
 
ameshakujua madhaifu yako huyo ,,,,,,,,,

anakubeba tu akili hapo................
 
Ajabu hiyo hapo,mara tano zote hizo angekuwa na nia si angeshaenda?
Na hayo makosa anayofanya ambayo yanapelekea mume atishie kumuacha ni makosa gani hasa? Naona kama mtoa mada na mkewe wote wana tatizo linalofanana.

hahahaa wenzake hawasemi ni 1 2 3 action tu......sa useme naenda kujiua na hajaenda!!!!

matokeo yake ndio hayo kila siku anaahirisha!!!!!!

duniani kuna mambo wallahi
 
hahahaa wenzake hawasemi ni 1 2 3 action tu......sa useme naenda kujiua na hajaenda!!!!

matokeo yake ndio hayo kila siku anaahirisha!!!!!!

duniani kuna mambo wallahi

Kuna mambo hasa! Na mume kampata wa kuwa anahesabu mara zote anazotishia anaenda kujiua,sijui huwa anambembeleza asijiue?
Najaribu kufikiria siku akimwambia "nimechoshwa na vitisho vyako kama unataka kujiua jiue tu"!!!!
 
Wenye nia za dhati za kujiua huwa hawajiungi kwenye sms na kuomba ridhaa kwa wapendwa zao! Huyu si wakujiua!
Siku moja niko bar moja kijiji cha Idodi Iringa(Usiniulize nilikuwa nafanya nini) Mhudumu kachelewa kurudisha change mteja kamfokea,dk km 20 nyingi binti kaenda kurudishwa kashauparamia Mkaratusi! Hawa ndio wenye nia thabiti!
 
mwambie akijiua wewe utaoa mke mwengine, na mtakie safari njema huko akhera
 
Wamekufa kina mushi wa ufooo itakuwa wewe!
 
...aisee mkeo anatatizo kubwa kuliko unavyoliona,kwanza kitendo cha kwenda safari bila taarifa na kudharau makatazo yako,pili kudiriki kukutamkia atajiua nalo ni tatizo kubwa sana. Nashauri kwanza mkeo apate ushauri wa kisaikolojia,pili nina mashaka na IQ yake...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom