funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,559
- 21,040
Nimesoma post ya yule dada ambaye akinyonyesha ana cum imenikumbusha kitu kilinitokea miaka mingi sana iliyopita
Miaka ya nyuma sana wakati nasoma kidato cha nne niliwahi kukutwa na tatizo ambalo mpk leo nimekaa nalo kama siri, lakini kwa kuwa hapa kuna wataalam wengi ngoja niwamegee tujadili
Siku nilipokuwa nafanya mtihani wa mwisho wa taifa wa kidato cha nne wa Book Keeping kuna swali lilikataa ku-balance (wahasibu hapa mtanielewa vizuri) sasa wakati nachekecha akili na kuangalia wapi nimekosea nilisikia hali flani ya raha hivi mpaka nikapiga bao ndani ya chumba cha mtihani yaani ilikuwa na ajabu sana ila bahati nzuri waliokaa jirani walikuwa busy na mtihani hawakugundua ingawa nilipatwa na hali ya ajabu sana
ilibidi niombe ruhusa kwenda chooni kujiweka sawa ndio nikarudi kwenye paper na kuendelea (nilipata "A" mwisho wa siku)
Swali ni kwamba je hiyo ni hali ya kawaida au kuna mtu mwingine imeshamtokea akapiga bao katika kipindi cha stress kama hicho?. Naomba ushauri kutoka kwa wanaume au wanawake wenye taaluma na uzoefu wa mambo ya afya ya uzazi