chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 21,888
- 29,680
Habari zenu wana-MMU!!
Mimi ni msomaji sana wa articles na majarida mbalimbali katika kupata kujua na kupambanua mambo mbalimbali,..
Moja ya article niliyowahi kusoma nimebahatika kukutana na maneno haya hapa chini,..
Tafadhali naomba kujua ukweli wa huu ujumbe ndugu zangu!!
A MOTHER can make her BOY intelligent in a period of 20 years but a GIRL can make that BOY to be a STUPID and FOOL within 2 minutes.
How far is this TRUE?
THINK ABOUT IT!!!