Tapeli wa Mapenzi..Moshi

Tapeli wa Mapenzi..Moshi

Vawulence

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2009
Posts
1,983
Reaction score
2,341
Huyu jamaa....
Ni tapeli la kimapenzi ni muhasibu wa Saccos moja mjini moshi.
Ameweza kutumia nafasi yake kuoa wanawake zaidi ya watatu kwa nyakati tofauti akiwadanganya hana mke.
Mpaka sasa ana wake wanne kati ya watano aliokuwa naobaada ya mmoja kujivua baada ya kugundua alidanganywa kuwa hakuwa na mke.
Pia anaoa akiangalia maslahi yake . Yaani hatoi huduma yoyote kwa hao wanawake.
Mmoja wa wake zake alimfumania siku ya Idd pili 10/08/2013 katika chumba alichopanga kwa siri juu ghorofani na akamfungia huko kwa muda wa saa sita (6) mpaka kufuli lilipovunjwa akatoka.
Watetezi wa haki za wanawake , wanaume kama hawa wanachukuliwa hatua gani?
Tunaomba msaada wenu kukomesha wanaume matapeli kwani mpaka sasa akiulizwa husema hana mke.....
Kwa Masheikh, kuwa na wake watano kwa wakati mmoja inajuzu?
Ni nini kukumu ya mume anayehadaa wanawake kwa ndoa?
Bwana huyu ni Mshia ingawa anatumia taqiya katika maisha yake yote.
 
Kweli jf tuna kazi jamani. Mdanganywe na viherehere vyenu, mjikute mmekuwa wengi na kambale mwenyewe mtoto wa kambale. Mmefuata shurubu zake tuu (Njuluku). Sasa mnaanza kuomba msaaada wa Mashke? Lahaullah lakwat!! Hii imekaale? Ulipomrembulia jitu ziima hukuona kasoro mpaka miaka hiyo halina mke. Hayo hamuangalii mpaka mnamfungia kijogoo wa watu ndani ili mwenzenu afaidi. Nenda na weye wenzio wakufungie humo masaa 12.
 
Tatizo ni pale watu wanapokiuka taratibu za ndoa na kufanya makubaliano binafsi alafu wanaitwa ndoa, tatizo wali-skip mchakato wa awali na kukimbilia ndoa wakaona hakuna haja ya kuhusisha ndugu na jamaa katika hatua za mwanzo especially mahari na taratibu zingine za kufanya zoezi liwe la uhalali na kimsingi ndio ndoa yenyewe huku kwingine tunakwenda kukamilisha zoezi tu. KWELI PESA ZAKE HUYO JAMAA NDIO ZILIZOWAVUTIA
 
Kwani wanaomiliki bastola huko Moshi hakuna?
 
Anaitwa Salim Mohamed Kundyah.
Ni tapeli la kimapenzi ni muhasibu wa Kutayba Saccoss Moshi mjini.
Ameweza kutumia nafasi yake kuoa wanawake zaidi ya watatu kwa nyakati tofauti akiwadanganya hana mke.
Mpaka sasa ana wake wanne kati ya watano aliokuwa naobaada ya mmoja kujivua baada ya kugundua alidanganywa kuwa hakuwa na mke.
Pia anaoa akiangalia maslahi yake . Yaani hatoi huduma yoyote kwa hao wanawake.
Mmoja wa wake zake alimfumania siku ya Idd pili 10/08/2013 katika chumba alichopanga kwa siri juu ghorofani na akamfungia huko kwa muda wa saa sita (6) mpaka kufuli lilipovunjwa akatoka.
Watetezi wa haki za wanawake , wanaume kama hawa wanachukuliwa hatua gani?
Tunaomba msaada wenu kukomesha wanaume matapeli kwani mpaka sasa akiulizwa husema hana mke.....
Kwa Masheikh, kuwa na wake watano kwa wakati mmoja inajuzu?
Ni nini kukumu ya mume anayehadaa wanawake kwa ndoa?
Bwana huyu ni Mshia ingawa anatumia taqiya katika maisha yake yote.

si nasikia wenye majina hayo na imani hiyo wanaruhusiwa kuoa hata wake mia?mbona hao watano ni wachache mno?halafu kuhusu matumizi umejuaje kama hawapi?kwani wao hawajui kujitegemea?
 
Sijui nimekuwa slow leo! Sijaelewa nia na dhumuni la huu uzi,aliyeelewa anisaidie tafadhali.
 
huyo ana mpango wa kugombea uongozi nini? naona dalili za kuchafuana. nway, ahsante kwa taarifa. cc sweetlady, Preta @blaki woman

mi huyo ndio namtaka......anaonekana kidume kweli..........mwanaume wako peke yako huyo si mzima......hebu bwana Isaac naomba mawasiliano ya bwana Salim............
 
Last edited by a moderator:
Lol!!!!! hapa ni harufu ya umbea tu,,,,,,, hao wake wenzio wanakutisha nini mpaka ulalamike jf???????!!!!
Pambana mwanamke afu mwanaume ujue siku zote si wa peke yako..
 
Invisible hii thread muitoe inaonyesha huyu katemwa kimapenzi na muhusika sasa anataka kumchafua kupitia jukwaa letu tukufu
 
Last edited by a moderator:
mi huyo ndio namtaka......anaonekana kidume kweli..........mwanaume wako peke yako huyo si mzima......hebu bwana Isaac naomba mawasiliano ya bwana Salim............

We!? preta unatisha
 
Last edited by a moderator:
Anaitwa Salim Mohamed Kundyah.
Ni tapeli la kimapenzi ni muhasibu wa Kutayba Saccoss Moshi mjini.
Ameweza kutumia nafasi yake kuoa wanawake zaidi ya watatu kwa nyakati tofauti akiwadanganya hana mke.
Mpaka sasa ana wake wanne kati ya watano aliokuwa naobaada ya mmoja kujivua baada ya kugundua alidanganywa kuwa hakuwa na mke.
Pia anaoa akiangalia maslahi yake . Yaani hatoi huduma yoyote kwa hao wanawake.
Mmoja wa wake zake alimfumania siku ya Idd pili 10/08/2013 katika chumba alichopanga kwa siri juu ghorofani na akamfungia huko kwa muda wa saa sita (6) mpaka kufuli lilipovunjwa akatoka.
Watetezi wa haki za wanawake , wanaume kama hawa wanachukuliwa hatua gani?
Tunaomba msaada wenu kukomesha wanaume matapeli kwani mpaka sasa akiulizwa husema hana mke.....
Kwa Masheikh, kuwa na wake watano kwa wakati mmoja inajuzu?
Ni nini kukumu ya mume anayehadaa wanawake kwa ndoa?
Bwana huyu ni Mshia ingawa anatumia taqiya katika maisha yake yote.

Wewe ni mmoja wa waliotapeliwa kingono?
Au alikupora demu?
Fanyw YAKO.
 
Back
Top Bottom