Wanaume wanaoshinda gym na saluni vs wanaume watafutajio

Wanaume wanaoshinda gym na saluni vs wanaume watafutajio

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
543
Reaction score
652
Wanaume wanaoshinda gym na salun vs wanaoume wanaotafuta faranga hivi nani kati ya hao wawili wana chance kubwa ya kung'oa demu kirahisi
 
duuuh, hii nayo ni topic ya kujadili hapa kwa great thinkers?
 
Wa gym manake mwanamke wa kweli anahutaji kukunwa
 
Utashinda gym wewe trainer? Au saloni wewe umeajiriwa???

Issue ni kuwa unaweza fanya yote...kutafuta ela aina maana ya kulea kitambi au kuwa mchafu...Tafuta ela nenda gym nenda salon..

Kuna wanaume wachafu kweli eti wanajipa moyo 'hapendwi mtu; bali pochi'

Ndio unakuta mtu na pesa yake anakufa below 50 kwa sababu ya obesity

Wanaume wanaoshinda gym na salun vs wanaoume wanaotafuta faranga hivi nani kati ya hao wawili wana chance kubwa ya kung'oa demu kirahisi
 
mapenzi haya fomula mkuu, wa gym atapendwa kwa mvuto wake wa mwili wa mazoezi na huyo mwingine atapendwa kwa pesa zake.......lakini ahuna maana kama ukishinda gym huna hela...tena unaweza ukawa na hela sana we gym kila siku si chini ya elfu tano inategemeana...sasa hiyo elfu tano kwa siku kuitupa gym tu si mtu mwenye hela huyo?!!
 
Sasa kama hauna hela GYM unashinda kufanya nin manaake gym inahitaji mlo mzuri, inahitaji malipo tena ya juu wew anashindia chai kavu na mkate ndio pia tuseme unaenda gym?? yani ni sawa sawa na kujenga nyumba ya udongo kwenye mapromoko ya maji
 
Mimi sina mazoea sana jukwaa hili,ila nimekua interested kidogo na hii topic,ni hivi;Wataalamu wa saikolojia akiwemo Forouk Radwan wa Misri suala hilo liko hivi,mwanamke anaangalia vifuatavyo toka kwa mwanaume Resources,Status and money,au kwa lugha ya haraka tunasema financial security,lakini vilevile mwanamke anaweza aka-base kwenye mvuto(looks) lakini mvuto toka kwa mwanamme huwa sacrificed endapo huyo mwanaume akiwa na hizo sifa hapo juu(status,money e.t.c),kwa iyo wale ndugu zangu wanaohangaika gym mjue rafiki wa mwanamke ni pesa,vingine ni mbwembwe tu......so kuanzia leo wewe mtoto wa kiume tafuta pesa bt fanya yote haya kwa njia halali!
 
Wanaume wanaoshinda gym na salun vs wanaoume wanaotafuta faranga hivi nani kati ya hao wawili wana chance kubwa ya kung'oa demu kirahisi

Tatizo lako kungoa dem kirahisi tu?
Sio madem wote wanazo akili sawa.
wengine wana akili fupi na wengine ndefu.
wengine akili pana na wengine nyembamba.

Wengine wanapenda wasalun, wengine wagym, na wengine wanapenda wanaotafuta faranga.

Try kushinda gym, afu salun, na kutafuta faranga uone, utapata jibu
 
Back
Top Bottom