Rafiki yangu anatembea na demu aliyekuwa malaya kijijini ila nashindwa kumweleza

Mbuna

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
269
71
Kuna rafiki yangu tunapendana sana tokea tukiwa wadogo mpaka hivi sasa yaani ndio rafiki wa ukweli, ila mwaka jana tuliporudi likizo nyumbani kwetu vijijini baada ya kula kula sikukuu ya krismasi na mwakampya tulirudi zetu mjini ila kuhusu mahusiano nilikuwa najua anatoka na Classment wetu na sii mwingine kwani ndiye aliyenitambulisha ila baada ya muda rafiki yangu wa kike akanihabarisha kuwa rafiki yako anatoka na mtu fulani, sikuamini ukweli huo nikamwomba nifanye uchunguzi mdogo mdogo ila mwishowe nikapata ukweli ila yeye akawa ananificha. Wasifu wa huyo msichana unanichanganya sana kwani sipendi rafiki yangu aje kujutia kwani najua historia yake aijui kwa sababu wakati tunasoma Secondary tulipofika kidato cha pili rafiki yangu aliacha shule kwa ajili ya kukwama ada na kwenda mjini kutafuta maisha na msichana mwenyewe alikuwa darasa la saba, baada ya msichana kumaliza darasa la ndipo alipoanza tabia umalaya kwa kutembea na watu mbalimbali na hasa wakandarasi waliokuwa wakitengeneza barabara kijijini kwetu na mpaka baada ya kujiunga na masomo ya sekondari alipofika kidato cha pili alifukuzwa shule kwa sababu ya mimba na mpaka namaliza shule 2010 alikuwa ashatoa mimba tatu ila hivi sasa anasoma na bado ni rafiki wa huyo rafiki yangu na wote wapo hapa mjini na amenitambulisha mwezi uliopita ILA NASHINDWA KUMWAMBIA HUYO MSICHANA TABIA YAKE SIO MZURI NAOMBENI USHAURI WENU SIPENDI RAFIKI YANGU SIKU MOJA MAISHANI AKAJA KUJUTIA.NAWASILISHA
 
We sema huyo demu na wewe ulikuwa unamtamani kitambo, na sasa unaumia roho. Kwani wewe huyo demu wako ulimkuta silidi? Na una uhakika gani kama watu hawajisevii?
 
Stop mingling into others businesses. Nigga get a life, let your buddy handle his own saga.
 
Kuna rafiki yangu tunapendana sana tokea tukiwa wadogo mpaka hivi sasa yaani ndio rafiki wa ukweli, ila mwaka jana tuliporudi likizo nyumbani kwetu vijijini baada ya kula kula sikukuu ya krismasi na mwakampya tulirudi zetu mjini ila kuhusu mahusiano nilikuwa najua anatoka na Classment wetu na sii mwingine kwani ndiye aliyenitambulisha ila baada ya muda rafiki yangu wa kike akanihabarisha kuwa rafiki yako anatoka na mtu fulani, sikuamini ukweli huo nikamwomba nifanye uchunguzi mdogo mdogo ila mwishowe nikapata ukweli ila yeye akawa ananificha. Wasifu wa huyo msichana unanichanganya sana kwani sipendi rafiki yangu aje kujutia kwani najua historia yake aijui kwa sababu wakati tunasoma Secondary tulipofika kidato cha pili rafiki yangu aliacha shule kwa ajili ya kukwama ada na kwenda mjini kutafuta maisha na msichana mwenyewe alikuwa darasa la saba, baada ya msichana kumaliza darasa la ndipo alipoanza tabia umalaya kwa kutembea na watu mbalimbali na hasa wakandarasi waliokuwa wakitengeneza barabara kijijini kwetu na mpaka baada ya kujiunga na masomo ya sekondari alipofika kidato cha pili alifukuzwa shule kwa sababu ya mimba na mpaka namaliza shule 2010 alikuwa ashatoa mimba tatu ila hivi sasa anasoma na bado ni rafiki wa huyo rafiki yangu na wote wapo hapa mjini na amenitambulisha mwezi uliopita ILA NASHINDWA KUMWAMBIA HUYO MSICHANA TABIA YAKE SIO MZURI NAOMBENI USHAURI WENU SIPENDI RAFIKI YANGU SIKU MOJA MAISHANI AKAJA KUJUTIA.NAWASILISHA

Usipende kuingilia sana mambo ya watu!
Ebu nisaidie hilo neno hapo kwenye red, nimetafuta sana ktk dictionary, sikupata.
 
simple tu mkuu mwanamke mchafu na mwanaume mchafu soo sioni tabu mboni unaona kibanzi jichoni mwa dada wa watu wakati rafikiyo ana liboliti..
 
Huna haja ya kuumiza kichwa maana umalaya wa huyo mwanamke rafiki yako anaujua na ndio maana yupo nae.
 
Unadhani kwa nini rafiki yako anakuficha? Jiulize na ujielewe, unatia pua pasipokuhusu.

Sie waswahili tuna tabia ya kutoa mitazamo bila hata kuombwa! Wewe gf wako unajua alikuwa nani zamani?
 
Kwanini ujitafutie lawama kwa starehe za watu? Uchune hivyohivyo maana umeshachelewa!!!!!!
 
Back
Top Bottom