Siri ambazo wanawake hawataki wanaume wajue

Tetra

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
1,520
764
Zifuatazo ni baadhi ya tabia ambazo wanawake wasingependa wanaume wajue:
1.Anataka kuambiwa yeye ndiye mzuri tu ktk dunia nzima.Usimsifie mwenzake mbele yake
2.Jicho lake la kwanza anapokutana na mwanaume ni kuangalia mwanaume amevaa nini miguuni.
3.Wanasema wasichokimaanisha
4.Anapofanya jambo lisilo la kawaida mf.kuvaa vibaya,kubadili rangi ya mwili n.k Anataka kuvuta attention ya mwanaume.
5.Wanajua wanapodanganywa,,kimaumbile wana hisia ambazo huwatarifu kuwa mwanaume aliyembele yake ni mwongo au mkweli.
CHANGIA NA WEWE ULIZOZIONA ntarudi kuleta tabia za wanaume ambazo wasingependa wanawake wajue !!
 
Mwanamke hana formula bwana, tena hata usitake kudanganya watu.

Mngekuwa mnajua mnapodanganywa msingekuwa mnatujazia makala za kuomba ushauri kila uchao baada ya kumegwa na watu kusepa.

Mi ungeniambia kuwa huwa hamjui kutofautisha kusifiwa na kukejeliwa ningekuelewa. Manake mwanaume anakutongoza ilhali akijua umeolewa na wewe kwa akili yako unaona ni dalili ya kukupenda wkt kiukweli hiyo ni dalili ya dharau kwamba ameshakuona cheap ****

Raha sana kuwa mwanume
 
mie ni mwanaume na sijui upande wa pili kunani...am sorry sitochangia ngoja waje wahusika wa hili.
 
mwanamke yupi unamzungumzia?manake tusije kuwa tunatoka povu hapa kumbe wanawake wanaozungumziwa hapa sio ninaowafikiria mimi kuwa ni wanawake!
 
mi wanawake nawaogopa sana. unaweza ukamdanganya na akajua unamdanganya lakini bado anakubali unacho mwambia. Hawapendi kuambiwa ukweli. mfano "atakuuliza una demu?" hata kama unaye we sema sina. atajua unamdanganya lakini hawezi sema wanidanganya ili apate kukubana siku za mbele atakapo kufumania. "wewe si ulisema huna mtu" atakubana na maswali akibamba msg". wajanja sana. mia
 
mwanamke anayekukubalilia anajua kabisa dhamira yako na mpango wake anao kichwani.
 
Mwanamke hana formula bwana, tena hata usitake kudanganya watu.

Mngekuwa mnajua mnapodanganywa msingekuwa mnatujazia makala za kuomba ushauri kila uchao baada ya kumegwa na watu kusepa.

Mi ungeniambia kuwa huwa hamjui kutofautisha kusifiwa na kukejeliwa ningekuelewa. Manake mwanaume anakutongoza ilhali akijua umeolewa na wewe kwa akili yako unaona ni dalili ya kukupenda wkt kiukweli hiyo ni dalili ya dharau kwamba ameshakuona cheap ****

Raha sana kuwa mwanume

Kweli wewe Mwana Mtoka Pabaya
 
Last edited by a moderator:
Wanawake viumbe wa ajabu sana! Binadam sote dhaifu ila wenzetu wamezidi, nikifikiria AKILI YA MWANAMKE ilivyo, wazo la kuoa linanikimbia kabisaaaa..! Katika kila mwanamke mwenye mafanikio, nyuma yake kuna MWANAMUME
 
Siwezi kumkana mtu wangu kisa namtokea mwingine...akiniuliza unaye, namwambi ndiyo.
Nukta.
 
hakuna binadamu mwenye formula, formula zake amezihifadhi muumba wake.
Ila kuna ukweli alichesema mtoa mada, japo kwangu sio siri, huwa naweka wazi kuwa umevaa nini miguuni,
Kuwa najua unadanganya, ila nakwenda na flow kwa sababu zingine kama - kuona raha wakati unapodanganywa, au kujidanganya kuwa huo uwongo ni wishes ambazo siku moja zitakuwa kweli,

Pamoja na yote hayo, bado kuna mengi sana going on in a human mind, huwezi kuweka summary kwa mistari michache hiyo!!

Muhimu, wewe ishi hapo ulipo, usiishi maisha ya Haika huku, hayako applicable kwa case ulioko nayo hapo.
 
Mwanamke hana formula bwana, tena hata usitake kudanganya watu.

Mngekuwa mnajua mnapodanganywa msingekuwa mnatujazia makala za kuomba ushauri kila uchao baada ya kumegwa na watu kusepa.

Mi ungeniambia kuwa huwa hamjui kutofautisha kusifiwa na kukejeliwa ningekuelewa. Manake mwanaume anakutongoza ilhali akijua umeolewa na wewe kwa akili yako unaona ni dalili ya kukupenda wkt kiukweli hiyo ni dalili ya dharau kwamba ameshakuona cheap ****
Raha sana kuwa mwanume
Mimi nadhani wanaume ndiyo hawatofautishi kukejeliwa na kuambiwa ukweli. Unakuta lizee zima lina miaka 45 au hata 50, unalikejeli kwa kuliita "baby" linatabasamu tu wakati lina mvi mpaka maeneo nyeti.
 
Mwanamke hana formula bwana, tena hata usitake kudanganya watu.Mngekuwa mnajua mnapodanganywa msingekuwa mnatujazia makala za kuomba ushauri kila uchao baada ya kumegwa na watu kusepa.Mi ungeniambia kuwa huwa hamjui kutofautisha kusifiwa na kukejeliwa ningekuelewa. Manake mwanaume anakutongoza ilhali akijua umeolewa na wewe kwa akili yako unaona ni dalili ya kukupenda wkt kiukweli hiyo ni dalili ya dharau kwamba ameshakuona cheap ****Raha sana kuwa mwanume
100% Correct...Raha sana kuwa Mwanaume...Rahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom