Yamewatokea wengi na yatatutokea wengi. Mjini ulikuwa unajulikana kama tupatupa, Unaheshimika kutokana na maisha mazuri unayoishi, nyumba nzuri gari zuri, siku ukifa au ukifiwa siri zako zote...
Hey ladies;
Natoa 'offer' ya urafiki utakaopelekea uchumba kwa msichana aliezaliwa Jan 15, mwenye miaka 20-30. Lengo ni kuwa na rafiki ninaye-share naye 'birthdate'. Nimezaliwa tarehe hiyo pia...
Mu hali gani wana MMU???
Kuna Bi shost mmoja alipata nafasi ya kuchukua degree katika chuo kimoja Jijini Dar Es Salaam, basi bana Degree ikapata attachment ya ujauzito baadaye akajifungua mtoto...
jamani sina raha mwenzenu kwenye ulimwengu wa mapenzi! Napokuwa kwenye tukio maalumu uume wangu umekuwa kero sana! Napofanya romance uume unasimama, ila nikitaka kuchomeka unalala! Ata kama...
Nilikuwa nimekaa maeneo flani Coco Beach leo asubuhi.. Nikasikia kijana mmoja wa kiume akiwasimulia wenzake jinsi usiku wa jana alivyopata mrembo na kwenda kulala nae.. Kwamba, demu anajua sana...
Mi nimechoshwa na wasichana wa humu mtandaoni mana wa kwanza alikuwa mwizi, wa pili alikuwa malaya wa kutupwa ,wa tatu mpenda hela ka amezaliwa kwenye ATM wa mwsho ana majini m nasubr wa kunifuata...
Habari wana Jf .
Kuna ukweli wowote kwamba mwanamke anaweza olewa na mwanaume asiyempenda kutokana na ugumu wa kupata ajira. Hii inakuja pale ambapo mwanzoni anakutongoza ukiwa chuoni unakataa...
Wandugu hii imekaaje?mwalimu wa kiume kumgegeda dent wa shule ni kosa tena kubwa!Na je?Mwalimu wa kike kugegedwa na Mwanafunzi wake ni kosa?Hebu changia hapa.
hii ni ajabu kidogo,na sijui chanzo ni nini,wasichana wengi ni watiifu na wanyekevu kweli kwa wazazi wao,ndugu zao na kwa kaka zao.
Kimbembe kianza pale tu msichana anapofanyiwa uzinduzi...
Ukifutalia kwa karibu utagundua wafanyakazi wa ndani kama housegirl wanajitahidi sana katika kuwajibika kwa mujibu wa majukumu wanayopangiwa na mabosi wao kama kuangalia watoto,kuwapikia na...
She : dad I m in love with a boy who is far away from me.
I m in Kenya and he lives in uk.
We met on a dating website,
Became friends on fb,
Had long chats on whatsapp,
Proposed each other on...
kuna haya mapenzi ambayo yanaanzishwa kwa usri mkubwa kwa sababu maalumu
1.ama wapenzi ni ndugu,kaka vs dada,baba vs binti nk
2.ama wapenzi tayari wanawapenzi waliowazi
3.ama boss anamega house...
Kwamba labda anakusave na stress za kujua kuna wanawake wanamsumbua au anafuta kwasababu na yeye anawaandikia vitu ambavyo hataki uvione(ana mahusiano nao)?
rushwa ya ngono leo ndio silaha kubwa wanayoitumia wanawake kufanikisha mambo yao.
Wanaume nao ni waroho kupindukia na kila binti akionekana mwenye kuhitaji msaada basi wanapitia hapo hapo...
MImi ni kijana wa umri wa kati , nimeoa miaka miwili iliyopita
katika maisha yangu mapya ndani ya taasis ya ndoa nimekumbana na changamoto
inayonitesa sana , mke wangu ana asili ya kumiliki kila...
Kuna binti tulipendana kwa mda mrefu lakini baada ya kurudi kutoka masoni alibadilika kiasi kwamba hata salam yangu hanijibu cjui nimemkosea nini wala hataki hata kuongea na mimi!!, jamani...
eti unaenda kumnyang'anya mke ama demu mjeda ama wale maafande,wewe unajipenda ama?Unaweza kuganga safari ya kwenda Cyprus na usifike.
Watu wana roho ngumu sana,mana hata hawa jamaa nao...