WASICHANA WENGI wanaota viburi kupindukia wakishaanza kugegedwa.

Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,537
Likes
43
Points
145
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,537 43 145
hii ni ajabu kidogo,na sijui chanzo ni nini,wasichana wengi ni watiifu na wanyekevu kweli kwa wazazi wao,ndugu zao na kwa kaka zao.
Kimbembe kianza pale tu msichana anapofanyiwa uzinduzi rasmi,anajaa kiburi kwa wazazi,hatekelezi tena maelekezo ya wazazi,hata akikamatwa na kosa zaidi ya mara moja haogopi tena kulirudia,kaka zake ndo watamkoma,hao anawaona kama wadogo zake vile.
Kwa kiasi kikubwa wanawake wengi wamepitia tabia hii.
Wale walokole inapofikia hapo wanasema ni pepo la ngono.
Msichana akikatazwa kufanya kitu ananuna siku nzima.
 
D

daffy

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Messages
197
Likes
0
Points
0
Age
44
D

daffy

Senior Member
Joined Aug 29, 2013
197 0 0
hiyo ni mabadilko katika umri wa kubalehe kwa vijana wengi,si wasichana tu hata vijana wa kiume wanatabia zao,inafaa kuwaelewa sana na kufahamu jinsi ya kuwasaidia na kuwaongoza kwa upole na upendo ili wavuke salama kipindi hicho,hapo mangumi hayasaidii,kumbuka how you were stubborn ukiwa umri huo unaozungumzia....
 
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,537
Likes
43
Points
145
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,537 43 145
hiyo ni mabadilko katika umri wa kubalehe kwa vijana wengi,si wasichana tu hata vijana wa kiume wanatabia zao,inafaa kuwaelewa sana na kufahamu jinsi ya kuwasaidia na kuwaongoza kwa upole na upendo ili wavuke salama kipindi hicho,hapo mangumi hayasaidii,kumbuka how you were stubborn ukiwa umri huo unaozungumzia....
Mbona kama hawajagegedwa wanaweza kubalehe na wasiwe na viburi?Hata miaka 20 to 22 wanafika bila jeuri,lakini akigegedwa tu hata kama ni 12 tu kinajiona kimekuwa.
 
Forum statistics

Threads 1,251,563
Members 481,767
Posts 29,776,148