Hivi mume wako akifuta sms anazoandikiwa na wanawake wengine ni kwamba hataki uumie ukisoma au ana m

Phenomenon Lady

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
407
242
Kwamba labda anakusave na stress za kujua kuna wanawake wanamsumbua au anafuta kwasababu na yeye anawaandikia vitu ambavyo hataki uvione(ana mahusiano nao)?
 
Unatafuta nini kwenye simu ya mumeo? najua utamaka! Lakini ukweli unabaki kwamba kupekua pekua simu ya mwenza wako ni msingi wa migogoro ndani ya nyumba.
 
Kwann upekue simu yake. We ni msukuma?..una mavi kweli wewe!!!..mnfyuuuuu
 
Kwenye kila unachowekeza kuna nafasi ya risk...Kwenye ndoa huwezi jua mwenzi wako hatacheat kwa 100% unamchagua tu mwenye asilimia kubwa ya kutokucheat.
  • Kama wewe ni muumini wa positive thinking(which is much less stressful), basi unapaswa kumwamini kwa asilimia 100% mpaka akionesha kutoaminika.(This being said, u need to leave his phone for his use no matter what he does with it u think nothing until it really provides a bigger reason he is cheating).
  • Kama ni muumini wa negative/suspective way of thinking. Faida ni kwamba dalili za kucheat utazigundua mapema but are u really married to make sure he doesn't cheat?

Waweza chagua yoyote but whatever u choose, maisha ni mafupi, punguza stress have a drink!!!!
 
Anakusave na stress which is good......na anaendelea kujipa raha on his way!!!!!
 
Kwenye kila unachowekeza kuna nafasi ya risk...Kwenye ndoa huwezi jua mwenzi wako hatacheat kwa 100% unamchagua tu mwenye asilimia kubwa ya kutokucheat.
  • Kama wewe ni muumini wa positive thinking(which is much less stressful), basi unapaswa kumwamini kwa asilimia 100% mpaka akionesha kutoaminika.(This being said, u need to leave his phone for his use no matter what he does with it u think nothing until it really provides a bigger reason he is cheating).
  • Kama ni muumini wa negative/suspective way of thinking. Faida ni kwamba dalili za kucheat utazigundua mapema but are u really married to make sure he doesn't cheat?

Waweza chagua yoyote but whatever u choose, maisha ni mafupi, punguza stress have a drink!!!!

hakuna kitu kizuri kama kuwa na mawazo positive kwenye ndoa..unaenjoy kwa kweli no stress yani furaha tu hata mtu akicheat anajishtukia mwenyewe.. anaacha mwenyewe..
 
Back
Top Bottom