MAPENZI YA SIRI SANA:siku yakibumbuluka ni balaa.

Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
3,537
Likes
43
Points
145
Mshinga

Mshinga

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
3,537 43 145
kuna haya mapenzi ambayo yanaanzishwa kwa usri mkubwa kwa sababu maalumu
1.ama wapenzi ni ndugu,kaka vs dada,baba vs binti nk
2.ama wapenzi tayari wanawapenzi waliowazi
3.ama boss anamega house girl
4.ama mama anamegwa na house boy.
5.padri anamega mke wa mtu ama muumini.
6.sista anamegwa na muumini
7.sista vs padri kumegana
8.mapenzi ya kuvizia eg kapuya style
9.masupa staa kujifanya wapo single Lulu vs kanumba
10.rafiki kumegea rafiki yake
11.mwanaume kumega ndugu, mama na bintiye,dada na mdogo mtu.
12.mlinzi kumega mke wa boss wake,eg winie mandela
13.mjakazi kumega watoto wa boss wake.
14.mwanamke kumegwa na ndugu,kaka na mdogo mtu,mzee na mwanae.
HAYA MAPENZI SIKU YANAPOBUMBULUKA HULETA BALAA. kama winie,kapuya,monica lewis na clinton,yule padri aliyefumaniwa.
Balaa jingine kwa wale ndugu kushare mpenzi bila kujua,kama ana maradhi anawaangamiza wote.
Take care.
 
Chujio

Chujio

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2013
Messages
806
Likes
29
Points
45
Chujio

Chujio

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2013
806 29 45
Umelenga pale pale mkuu...
..umesahau ile ya mwalimu na denti :)
 
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
14,622
Likes
2,688
Points
280
Mkoroshokigoli

Mkoroshokigoli

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
14,622 2,688 280
kuna haya mapenzi ambayo yanaanzishwa kwa usri mkubwa kwa sababu maalumu
1.ama wapenzi ni ndugu,kaka vs dada,baba vs binti nk
2.ama wapenzi tayari wanawapenzi waliowazi
3.ama boss anamega house girl
4.ama mama anamegwa na house boy.
5.padri anamega mke wa mtu ama muumini.
6.sista anamegwa na muumini
7.sista vs padri kumegana
8.mapenzi ya kuvizia eg kapuya style
9.masupa staa kujifanya wapo single Lulu vs kanumba
10.rafiki kumegea rafiki yake
11.mwanaume kumega ndugu, mama na bintiye,dada na mdogo mtu.
12.mlinzi kumega mke wa boss wake,eg winie mandela
13.mjakazi kumega watoto wa boss wake.
14.mwanamke kumegwa na ndugu,kaka na mdogo mtu,mzee na mwanae.
HAYA MAPENZI SIKU YANAPOBUMBULUKA HULETA BALAA. kama winie,kapuya,monica lewis na clinton,yule padri aliyefumaniwa.
Balaa jingine kwa wale ndugu kushare mpenzi bila kujua,kama ana maradhi anawaangamiza wote.
Take care.
ilitokea hii Koplo anaelinda nyumbani kwa kamanda wa polisi wa mkoa mmoja huko nyanda za juu kusini(miaka ya nyuma)alianza uhusiano wa kimapenz na mtoto wa kamanda,ikifika usiku bint anatoka nyumba kubwa anakuja kwenye kibanda cha walinz,koplo anafanya nae mambo mtoto anarud ndani,ila kamanda akahisi,akatega intelijensia yake vizuri,akamwambia mkewe,huyu mwanao anafanya mapenz na mmoja wa hawa vijana(Polisi wanaolinda makaz ya kamanda) mke akabisha,siku ya siku binti katoka kwenda kibandan akaendeleze ligi,alipotoka baba akaufunga mlango kwa ndani,akaichukua funguo na kwenda zake chumban,hapo inamaana bint alifungiwa kwa nje,bint alipomalizana na afande si ndo akaenda kufungua mlango arud ndani,,,akakuta umefungwa,,,,,,,hapo ndo palikua pagumu,sitaendelea ila athari ya MAPENZ YA SIRI TUMEIONA
 
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2013
Messages
15,844
Likes
5,767
Points
280
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2013
15,844 5,767 280
kweli hayo mapenzi si mazuri hata kidogo
 
TIQO

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
13,816
Likes
71
Points
0
TIQO

TIQO

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2011
13,816 71 0
Alafu ya mapenzi ya siri matamu sana
 
Forum statistics

Threads 1,250,692
Members 481,461
Posts 29,741,928