Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,721
For sure, nafurahi sana nikisoma post za watu MMU i can spend a whole day. Kinachonivutia kwanza ni ID za watu (nyumba ndogo, nyani ngabu, miss chaga, nyumba kubwa, kishtobe, mwekundu etc..), Halafu what they post and comment is so educational, sema katika hali ya utani, watu wanafunguka sana. Laiti kama wangetumia majina yao ya ki kwelii wangeongea only 30% of what they have... Watu wana uhuru sana wakiwa JF especially MMU..... mimi kama mimi mpaka leo my fellow students at all levels to varsity, wananielewa kama coward and shy, but nikiwa MMU with my false and nice ID "DAVION" i can shout and say anything, naweza kumbusu mke wa mtu kwenye PM hata kum "approach" msichana (am joking msinielewe vibaya ni mfano tu) i want to show how comfortable i am nikiwa JF........ Naifurahia sana JF, i like its funny members, I salute MMU too... KWA KWELI KWELI MI NAIPENDA HII...!!!! for me JF esp. MMU its another world, where impossible are made possible! .... nachekaga sana nikisoma ukorofi wa watu humu MMU. Some guys in here are virtuoso wanajua mambo sana, wengine COMEDIANS, wengine wanaume wana ID za kike, wenye busara zao, waropokaji, Gangsters, Mabraza men, ma sista duu, pro-tribalists etc yaani ni full burdani Ki ukweli... I LIKE THIS KWA KWELI "NAIPENDA HII"....