Ukitaka watanzania wasahau ndoa..wanakanisa tukapime dna za watoto wetu


BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
3,232
Likes
434
Points
180
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
3,232 434 180
Kama kuna dhambi ambayo naiheshimu ni kutunza mtooto wa watu
dhambi hii imeiuma sana hasa kwa watanzania wengi na kinachonifurahisha
nje kupima dna ni cha kawaida lakini watanzania wakifikira kupimana dna wanawaza ndoa zao

wanaajiuliza je ikitokea sio mtoto wangu nitawaeleza nini ndugu zangu...

Je ndoa yangu ndio itaishia mwisho????

Je baada ya hapo mama atakubali kumpeleka mtoto sehemu ya kutunzia watoto wasiokuwa nawazazi

ni maswali mengi wanajiuliza lakini imefikas sasa wakati muafaka watanzania tuamke tuanze kupima watoto wetu......wengi wanakimbilia kupima ukimwi ni nzuri ukweli unabaki ugonjwa mkubwa uliofichwa ndani ni kutunza mtoto wa mtumh rais mtaafu alisema ugonjwa huuu yaani ....umefichwa mahali pabaya sana sana na ndio maana tunaisha lakini mkuu ukweli unabaki ako kagonjwa cha kuchapiwa na kuzalishiwa mwisho kutunza watoto si wako kimeshamiri na kinatapakaa kama kaugonjwa cha ukoma

maombi yangu kwa mungu usisubiri mwanao afanane ati na marehemu babayako ama bibi yako kapime dna uishi kwa amani
 
C

Cyan6

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Messages
4,537
Likes
36
Points
0
C

Cyan6

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2013
4,537 36 0
Kuishi kwa matumaini ndiyo mpango mzima Best! Sasa watu wana miaka 20 kwenye ndoa wakapimane DNA si kuuana kwa presha?
 
Himidini

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
5,554
Likes
193
Points
145
Himidini

Himidini

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
5,554 193 145
^^
Ukimchunguza sana mke,,hutaishi nae.
Kuanzia mapishi hadi watoto.
Kulea watoto wasio wako bila wewe kujua sio dhambi ni sadaka ya ukunjufu wa moyo
^^
 
client3

client3

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2007
Messages
741
Likes
67
Points
45
client3

client3

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2007
741 67 45
umevurugwa nini?????Eboo! tupime watoto ili iweje sasa???????
tuwatupe?
tuwapeleke orphanage centres? tuwapeleke kwa baba zao ambao nao pia wana wake zao ambao hawakawaambia kuwa wana watoto wengine?
tuvunje ndoa zetu??
tuuane kwa kuumizwa na usaliti??
mbona wanawake wanawapokea waliozaliwa nje bila kuwapima?
WEWE NANI KAKUZUIA KUPIMA WAKO?
Sababu zako ni zipi haswa za msingi maana wewe pia sio kichaa hebu tupe zako kwanza.
 
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Messages
3,232
Likes
434
Points
180
BASIASI

BASIASI

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2010
3,232 434 180
umevurugwa nini?????eboo! Tupime watoto ili iweje sasa???????
Tuwatupe?
Tuwapeleke orphanage centres? Tuwapeleke kwa baba zao ambao nao pia wana wake zao ambao hawakawaambia kuwa wana watoto wengine?
Tuvunje ndoa zetu??
Tuuane kwa kuumizwa na usaliti??
Mbona wanawake wanawapokea waliozaliwa nje bila kuwapima?
Wewe nani kakuzuia kupima wako?
Sababu zako ni zipi haswa za msingi maana wewe pia sio kichaa hebu tupe zako kwanza.
hahahaaaa namsubiri client kwanza
 
Qualifier

Qualifier

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
1,244
Likes
58
Points
145
Qualifier

Qualifier

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
1,244 58 145
Kabla zoezi la kupima DNA za watoto wetu wenye Bastola wote wanyang'anywe vinginevyo tutashinwa hata kuzika misiba itakuwa mingi mno,Mbona mababu zetu walimegeana na ikabaki siri ? kwanini tusikubaliane na methali zao kuwa KITANDA HAKIZAI HARAMU
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,556
Likes
2,369
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,556 2,369 280
Siwezi kuwashauri watu wafanye hii DNA testing hasa kwasababu ya uzoefu wa hulka ya Mwafrica!!!!!!!
 
client3

client3

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2007
Messages
741
Likes
67
Points
45
client3

client3

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2007
741 67 45
Mkuu nina watatu sijawahi hata kupata wazo hilo.
 
C

Cyan6

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Messages
4,537
Likes
36
Points
0
C

Cyan6

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2013
4,537 36 0
^^
Ukimchunguza sana mke,,hutaishi nae.
Kuanzia mapishi hadi watoto.
Kulea watoto wasio wako bila wewe kujua sio dhambi ni sadaka ya ukunjufu wa moyo
^^
Na wote tuseme Ameeen
 

Forum statistics

Threads 1,250,642
Members 481,436
Posts 29,740,301