Friends with benefits.,no strings attached

Friends with benefits.,no strings attached

badiebey

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
5,875
Reaction score
3,119
Jmn kibongo bongo yawezekana mkatokea kwny no strings attached to a real good relationship ,kiukweli ukweli ipo hii,?
 
Only if you choose not to judge each other based on what you had.
 
Upo vizuri tu lakini muwe na mipaka. Mkianza kuleta feelings tu basi
 
wala sio tatizo sema wengi kama hamtaendeshwa kwa kufkriana vbaya
 
Back
Top Bottom