TihZ
Senior Member
- Jul 31, 2012
- 158
- 26
Nina girlfriend wangu nilikuwa sina imani naye na nilikuwa nina wasiwasi kuwa ananicheat ila sikuwa na uhakika ila siku nilipoijua password yake ya facebook ndipo nilipopata uhakika na mbaya zaidi kumbe alushatoa hadi mimba kabla ya kuwa naye.Kwa sasa nina amani moyoni kwa sababu nimeshamjua kuwa ni chui mwenye ngozi ya kondoo.Majanga sana