Lamchina
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 240
- 120
Heshima kwenu wadau,
Kumekuwa na migongano katika ndoa hasa kuhusu ratiba ya KUFANYANA
Hii ni kuhusu TENDO la ndoa linapaswa kufanywa mara ngapi kwa mfano kwa wifi?
Wengine huweka ratiba ya jumatatu, jumatano na ijumaa kama ndo siku ya kupiga mechi, inapotokea jumanne au jumamosi nina kiu ratiba ivunjwe au kufumiliana?
Au je linafanywa pale mmojawapo anaposikia hamu? na je kama mwenzako hajisikii kufanya TENDO?
Pale mmojawapo anapokuwan na hamu sana wakati mwenzake ni mogonjwa au ana tatizo la muda mrefu je avumilie tu kwa ajili ya kumridhisha mwenzake?
​
Karibuni kwa michango yenu ya kujenga na kuimarisha wanandoa