Kuna jamaa yangu mmoja ametembelewa na mama mkwe wake kutoka 'mkoani'. Jamaa amebahatika kupata mtoto wa kike ambaye kwa sasa ana umri wa mwaka mmoja.
Siku moja jamaa alikuwa anatoka kuoga...
Habari zenu wana mmu!
I hope most of you now are opening boxes... Wishing a happy boxing day!
Sasa wadau, mimi leo sijui niite vipi, binafsi kithembe sikipendi kama nini!
Haya bwana, leo...
Habari za wekend wadada na wakaka,
Hii story ya rafiki yangu ameshindwa kujiunga humu anaomba msaada wa mawazo yangu nikaona niilete humu tusaidiane kumshauri, nitampa aisome na yeye...
Mi...
Mi sio muabudu wa mambo ya jadi kutokana na malezi na mazingira niliyokulia.Mchumba angu ni msambaa ana chale za kutosha kifuani.Nimejaribu kumdodosa kwa kutumia lugha laini na kumpetipeti lakini...
Napenda kuwakumbusha wanawake usafi wa maeneo nyeti. Juzi nimekutana na demu ambae hata hakati mav.u.zi alafu mbaya zaidi alienda kukojoa kabla hatujaenda kulala. Hamu iliniisha nikaishia...
Wadau poleni!Nisiwe muongeaji sana nataka kuuliza hivi hii supu ya pweza mbona imekuja kuwa maarufu sana hapa mjini mpaka vijana wanaigombania?Kwan kuna kitu gan hasa kwenye supu hii?Je...
Wakuu hamjambo;
kumsamehe na kuendelea na mpenzi wako hata kwa kosa la kukusaliti ni ishara kwamba una upendo wa dhati kwake.....kuna ukweli wowote hapa?
kwanza napenda kuwaomba radhi kwa kuwapotezea mda wa kufungua zawadi zenu mlizopewa jana kwakuwa leo ndo boxing day.mimi ni mvulana niliyetokea kumpenda msichana mmoja hv jina kapuni,kwakuwa mi...
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi...
kuna tabia hasa kwa wavulana kuwajaribu wapenzi wao kama ni wagumu kukubali pindi watongozwapo.
MARA NYINGI WANA TOA NAMBA ZA SIMU KWA RAFIKI ZAO ILI WAWATONGEZE NA WAKATI MWINGINE WANAWEKA LOUD...
Mdada anayevaa chupi kwa ajili ya fasheni, anafanya hivyo ili nani aone fasheni?? Mabwana au wasichana wenzie??
Unakuta dada kavaa chupi aina ya kandambili, wavaaji wa chupi za namna hii wengi...
habari wana JF! mimi nimeolewa na tuna watoto wawili kwenye ndoa ambayo naweza kusema pamoja na changamoto za hapa na pale, ndoa yetu ina furaha. hivi karibuni nimegundua mimi na husband tumekuwa...
A single sperm contains 37.5mb of DNA information. One ejaculation represents a data transfer of 1.5875 TeraBytes
Sasa jiulize kwa siku unafanya data transfer kiasi gani...!!!
Now just compare USB...
Najitokeza tena hapa!!!,natafuta mke,naitaji mwanamke ambaye atakuwa tayari kuanza maisha ya ndoa,naitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe na nia na dhamira ya dhati...
Katika kipindi hiki cha mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka inawezekana kabisa mahusiano yako wewe na mpenzi wako hayako vizuri kabisa, inawezekana ikawa ulimkosea au umemkosea hivyo basi...
Una dada yako ambaye ni mjamzito baada ya kubakwa na kutokana na hiyo issue kutoa hiyo mimba anataka ila anahofia kuua kiumbe kisicho na hatia tumboni na kuiacha hiyo mimba anataka ila ana hofu...
Nipo hapa mtaa wa kati nafanya utafiti binafsi. Asilimia kubwa ya watu, hasa vijana na watu wa umri wa kati, wapo wawiliwawili (bond) na wanaonekana wapo kimahaba zaidi.
Nimepita mitaani...