Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Uhuni wote tuufanye tukiwa na miaka '20-50' baada ya hapo tunakuwa wapenzi watazamaji,nguvu zote chalii.....kimoja hoi au hewa tu.
0 Reactions
5 Replies
777 Views
How is your Sunday Guys? Mine is so super Good. Jamani nyie Kuna wanaume ni watamu acha tu jamani. Yaani he knows how to please a woman mpaka unaona mbingu hii hapa. Sijui huwa wanajifunzia wapi...
45 Reactions
178 Replies
14K Views
Mimi si mpenzi wa MMU na huwa naingia huku kwa nadra sana. Lakini kila jukwaa unapata yanayohusika nayo, na ni bora basi niwaeleze mkasa wangu ili wajuvi jukwaa hili mnisaidie. Iko hivi, mimi...
17 Reactions
129 Replies
4K Views
Napenda kuweka baadhi ya mawazo kidogo katika namna ya uendeshaji wa mahusiano ya mapenzi, yote ni katika kudumisha uhusiano wa kimapenzi uzidi kudumu kwa muda mrefu. 1: Kubembeleza, hii...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari zenu kuna swali huwa najiuliza ila bado sijapata jibu,nimeamua kuwashirikisha huwenda mtanisaidia kupata jibu ningependa hasa kupata jibu kutoka kwa wakina dada kwani wao ndio wahusika...
6 Reactions
259 Replies
62K Views
Haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana utasubiri sana. Watu wazima kwanza nguvu hawana, stress za magu, mara...
29 Reactions
243 Replies
18K Views
Kuna single mother fulani ambaye tumezoana saana kama watani tu wamakabila Uyo single mother Ana watoto 4 na mume wake alifariki toka 2022 Sasa siku hizi anaumwa matatizo ya mgongo na kiuno Jana...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mimi ni kijana na 28 years nilikutana na binti nilimpenda sana kumbe alikua na mtoto kazaa na mwanaume mwingine na mimi pia nilikua na mtoto wa nje niliona isiwe sababu nikaamua kuishi nae toka...
2 Reactions
82 Replies
14K Views
Sijui wangapi watanielewa lakini kiukweli kupenda kunatesa jamani Nina falsafa yangu huwa naisema sana kujikumbusha lakini bado hata mimi najikwaaa. "What you Love, is what will make you suffer...
4 Reactions
55 Replies
4K Views
Naishi na mwanaume, ila sasa shida ni pombe na akisha kunywa ni anagombana na kila mtu... Zaidi sana ni mtu wa hasira mnoo Ugomvi usio na kichwa wala miguu... Ukikaa kimya una kiburi ukisema...
10 Reactions
97 Replies
4K Views
Nashuwakuru nyie wadada wanne ambao mmewasiliana nami na kunisihi niwapatie Zawadi ya Mimba kama ambavyo nliahidi. Na pia nyie wawili ambao tayari mchakato umefanyika kwa kurudia rudia mara tatu...
0 Reactions
8 Replies
657 Views
Kwako ndugu na Kaka yangu National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika. Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa...
34 Reactions
342 Replies
12K Views
Habari ndugu zangu, Hivi ni kwanini siku hizi mwanamke yupo tayari kukubali kuolewa na mwanaume mwenye mtoto au watoto lakini mwanaume kuoa mwanamke mwenye watoto au mtoto inakuwa ngumu sana.
5 Reactions
176 Replies
31K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wapendwa.... Tarehe 29 Mwezi september, mwaka huu natimiza miaka 24. Nataka kushare niliyokumbana nayo na wake za watu pamoja na niliyowahi kuyashuhudia. Mara ya...
19 Reactions
64 Replies
11K Views
Habari za asubuhi wanajamvi, Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa. Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya...
46 Reactions
888 Replies
94K Views
Katika harakati zangu za hapa na pale za kusaka elimu, kuna mpangaji mmoja ni mke wa mtu kabisa leo kaamua kufunguka eti mimi naringa sana na mke wangu (mama umut) ni wakaida na mimi skutaka...
7 Reactions
66 Replies
5K Views
Salaam Kabla ya Habari. Naomba nitoe hii ripoti ya kazi: Haloo kama mnavo ufahamu ule uzi wa member riki wa kula tunda kimasihara hapa jukwaa la MMU unavo trend humu kumbe umefika viral hadi...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni mwezi mmoja umepita tangu nilete suala hilo hapa jukwaani nisikuleta suala hilo kama mzaha ni jambo ambalo linanigusa kwa ukubwa wa kipekee na kwa kutambua umuhimu wa wanajf hasa MMU...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Nliingia bank flan hapa Mwanza nlienda ku-withdraw pesa nyingi sana kwenye account yangu, Teller baada ya kuona kiwango cha pesa nnachotaka kutoa na umri wangu alishang’aa sana then akaanza...
16 Reactions
83 Replies
5K Views
Back
Top Bottom