Tofauti kati ya mwanaume mwembamba na mnene katika mapenzi

Rodyizzy

Senior Member
May 4, 2013
185
136
Habari zenu

kuna swali huwa najiuliza ila bado sijapata jibu,nimeamua kuwashirikisha huwenda mtanisaidia kupata jibu ningependa hasa kupata jibu kutoka kwa wakina dada kwani wao ndio wahusika wakuu ila pia si mbaya ata wakina kaka wenye experience wakinijibu.

swali: hivi kwanini wadada wengi wanao tafuta mchumba(mpenzi) hawapendi wanaume wembamba wana nini na wanaume wanene wana nini hasa cha kupendwa zaidi.
depositphotos_108475638-stock-photo-fat-overweight-vs-slim-man.jpg
 
Back
Top Bottom