Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habar za muda huu wakuu kuna binti hapa mtaani kwetu ameolewa na anamtoto mmoja ..mume wake ni mfanyakaz wakazi za ulinzi Sasa juzi kuamkia Jana mumewe akiwa kazin binti kaingiza njemba na huwa...
8 Reactions
102 Replies
9K Views
Kesi hiyo haikutatuliwa kwa zaidi ya miaka 40. Hadi Jumanne iliyopita, jaji wa Mahakama Kuu ya New South Wales nchini Australia alipomkuta Chris Dawson, 74, na hatia ya kumuua mkewe, Lynette...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Nnn
18 Reactions
125 Replies
17K Views
Yasmin Eleby hakupata mchumba wa kumuoa mtu ambaye alitaka awe mume wake atakapofikisha miaka 40--kwa hivyo akafanya kitendo ambacho kimewashangaza wengi, aliamua kujioa mwenyewe. Kwa mujibu wa...
1 Reactions
65 Replies
9K Views
sababu hiyo hapo
16 Reactions
238 Replies
22K Views
Wakati tunamalizia wiki nimeona tushirikishane kidogo juu ya hawa mabinti wanaoamua kuzaa na waume za watu maana hili sasa ni janga la kitaifa. Hivi jamani hawavihurumii hivyo viumbe wanavyovizaa...
3 Reactions
50 Replies
4K Views
Wanaume wengi, hasa wa JF wanalalamika sana kuwa wanawake tunataka wanaume 'wenye pesa' au waliofanikiwa tu. Pia kuonesha hii (kukubalika bila kuwa na pesa au kuhonga) ndio concern kwa wanaume...
51 Reactions
264 Replies
25K Views
Wanajamvi za asubuhi Naomba niende kwenye mada yangu moja kwa moja, nina demu niko naye miezi saba sasa, mm nakaa dar na yeye kwao ni dar ila kikazi yuko morogoro mjini, ni mwalimu wa primary...
3 Reactions
79 Replies
8K Views
Ilikuwa mwaka 2009 nikiwa A-level. Msichana niliyekuwa nimempenda sana na kumwahidi kumwoa mara baada ya kumaliza shule yeye akiwa amehitimu kidato cha nne na kupata DVN 4 ya 26 tukiwa...
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Ngoja niwape mchanganuo wa umri na kile unachotakiwa angalau uwenacho kwa maisha ya hapa Tanzania. 20 - 25 = Iwe kama ni kielimu hujafikia malengo yako,sitisha mara moja tafuta...
12 Reactions
70 Replies
9K Views
Alianza kama utani siku ya kwanza alikuja na nguo za ndani 2 moja akaifua akaiyacha geto nyingine akaivaa. Siku ya pili akaja na kanga na gauni asubuhi akavaa gauni kanga akaiacha. Siku ya 3...
5 Reactions
58 Replies
6K Views
Heshima kwenu wadau, Jambo hilo lilitokea juzi jioni, bahati ilio nzuri siku hio tulikua na mkesha sikuweza kuhisi maumivu nilio nayo sasa ni miezi 4 iliopita niliukutana na binti mmoja kanisani...
5 Reactions
138 Replies
15K Views
Za asubuhi wana-JF, Mi naomba kuuliza kwanini wanaume hawapendi kuoa wanawake waliowazidi umri au kwanini wanawake hawapendi kuolewa na mwanaume mdogo kwake?
0 Reactions
55 Replies
11K Views
Wakuu, Hivi huwa ikoje hii, yaani utakuta mwanamke anakutaka anajitahidi kukutega, anafanya viroja vyake mpaka anaishiwa ila kidume unakuta huna habari nae. Baada ya hapo akishagundua huna mpango...
4 Reactions
28 Replies
9K Views
Habari zenu Wana Jf naomba nieleze kwa ufupi ...Mimi ni binti WA kike ila Kuna mkaka nilikiwa nae kwenye mahusiano nikiwa sekondari ila nlimuacha baada ya kugundua alinificha kuwa alikuwa na mtoto...
24 Reactions
293 Replies
9K Views
Kuna watu huwa nikileta uzi humu huanza kuchangia kwa kejeli kuwa mimi nawaza Sana ngono . Mara mada zungu nyingi ni za kugegedana, mara kuna penzi napenda kumpa my hubby. wanaume mnakuja inbox...
20 Reactions
201 Replies
49K Views
Moja, Mwanamke anayefanyiwa mchezo huu hupata matatizo makubwa wakati wa kujifungua ikiwa ni pamoja na kutokwa na haja kubwa mfululizo wakati akijaribu kumsukuma mtoto. Tukio hili humsababishia...
24 Reactions
133 Replies
95K Views
S.hikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Ndugu zangu watanzania; Ukimtendea mtu wema...
72 Reactions
153 Replies
17K Views
Nimefanya utafiti sana nimekuja kujua kuwa wanaume wa TZ hawafai kuoa . 1. Mashoga Asilimia fulani ya wanaume wamekuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja na wanaonyesha wanapendelea hivyo na...
19 Reactions
790 Replies
68K Views
Kwema wadau Leo nakuja na njia kadhaa kwa mwanaume utachukua namba ya demu mkali kwenye dala daka au sehemu yeyote bila shida na badaw utaweza kummiliki. Unakutana na pc kali sehemu unatamani...
3 Reactions
26 Replies
6K Views
Back
Top Bottom