Nimejua kwanini sipati bwana hapa mjini

Nimejua kwanini sipati bwana hapa mjini

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,122
Reaction score
52,864
Haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana utasubiri sana.

Watu wazima kwanza nguvu hawana, stress za magu, mara nyumba imebomolewa, mikopo, ndugu wanamtegemea etc, yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo.

Sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda, ila mungu anawaona aisee ila wafanyeje? Kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.

Siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
 
Hahahahahahah we mama una matatizo sana aisee, umenichana mbavu asubuhi na mapema hivi!
 
Utaishia Kuliwa Tu... Hata Diamond mpka leo Hajaona Na Anakula Nje...
 
Katika hali ya kawaida.....mtazamo wa watu juu yako unatokana na wewe unavyojiweka.......

Watu wanakutendea kutokana na uakisi wako juu yao........

Ni kama ambavyo mtu ambaye si changudoa....lakini wanamuona changudoa kwa jinsi watu wanavyomuona na jinsi anavyojionyesha kwao.......

Ukiona wanakutendea kwa namna ambayo wewe hufurahishwi nayo au unashangazwa nayo.....unatakiwa wewe ndio ujichunguze na ubadilike au ubadilishe mfumo wako wa maisha na watu...automatically watabadili mitazamo yao juu yako.....

Maua hayapo vile yalivyo ili yakuvutie bali yako vile yalivyo kwa kuwa ni uhalisia wake na watu wanavutiwa nayo na kuyahifadhi ndani.......

Unatakiwa wewe ndio uwavutie watu sio kwa kuenenda ili uwavutie bali kwa kuwa wewe kama ulivyo.........

WORD IS ENOUGH FOR THE WISE
 
haya mambo ya kusema nataka mwanamme mtu mzima aliechoka na maisha tutulie tuleane tule uzee kumbe hapa mjini hamna bwana.utasubiri sana .watu wazima kwanza nguvu hawana ,stress za magu,mara nyumba imebomolewa, mikopo,ndugu wanamtegemea etc yaani wenyewe maisha yamewashinda wanatamani hata wajiuze .sasa wewe unapomuambia tena akuongeze kwenye list ni majanga tu unaishia kuliwa kwa mkopo .
sasa hapa mjini wanawake wameamua kuliko kuliwa kwa mkopo wanajichukulia viserengeti vyao wanawalea na maisha yanaenda,ila mungu anawaona aisee. ila wafanyeje?
kuna dogo hapa jirani handsome kweli ngoja amalize form four keshokutwa niachane na ukapera mimi.hata mtume nasikia aliolewa na mwanammke wa miaka 60 wakati ana miaka 18. sembuse mimi bado mbichi kabisa dogo anakuta flavour yote ya utamu aaagh!
siku njema wadau nawatakia na uzee mwema pia
Genye hazijawahi muacha mtu salama....any way njoo PM
 
Umenichanganya mie, huku unataka chapaa ya mzee machache, mara umtulize ben10 kwa silver??? Unatafuta pressures wewe siyo bure..[emoji24][emoji24]
 
Back
Top Bottom