Habar wakuu
Nauliza mke akiwa ananyonyesha mtoto wa mwaka moja anaweza chepuka Hali ananyonyshe,
Maana mke hutoka na mtoto mida ya mchana kwenda kwa ndgu zake,Sasa kama mara mbili hivi siku...
Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu.
Kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli...
Kwa wale wadada waliowahi au wenye wapenzi wakurya watakubaliana na mimi juu ya hili ila tunataka mwanamke awe mwaminifu tu asiwe konakona au mduara utakula mema ya nchi.
Naombeni mfute ile dhana...
Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya
1. Tumia condom
2. Tumia condom
3. Tumia condom
Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda...
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa
Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki...
Tangu tuingie kwenye mahusiano na huyu mtoto wa kinyawezi, nimekuwa nikipata shida sanaa hasa wakati nikiwa nae coz, mara nyingi anapenda mimi nimchagulie kila kitu. Hata nikimuomva papuchi...
Binti mwenye ndoa yake changa kaja kulalamika kikaoni kwamba mumewe hafanyi shughuli yoyote wakirudi nyumbani japo wote wanafanya kazi na wanatoka asubuhi kwenda kazini na kurudi jioni.
Wanaishi...
1. Mke anayekaa nyumbani: Huyu anajitolea muda wake wote kuhudumia familia, kulea watoto, na kuhakikisha nyumba iko sawa kila siku.
2. Mke mwajiriwa: Huyu anafanya kazi na anaingiza kipato cha...
Wa kutumia pesa zako ukitoa mama, ni mke wako. Msininukuu vibaya, namaanisha mke uliyemtoa usichana ukaiona damu yake. Mwisho wa nukuu.
Naungana na ndugu zangu Natafuta Ajira pamoja na R Heriel...
Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka...
Nina rafiki yangu tulifahamiana kwenye mitikasi ya utaftaji wa maisha, huyu rafiki yangu tumekua tunasaidiana mambo mengi sana.
Kuna kipindi alipata tatizo kubwa sana alijitahidi kuomba msaada...
JINSI YA KUEPUKA KUBAMBIKIWA WATOTO NA MKEO AU MWANAMKE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Wanaume wenye nguvu (Alpha Male) hujua Mtoto wake NI Yule aliyemzaa, mwenye damu yake na sio vinginevyo...
1. "UNAPASWA KUWA MWANAUME"
Ikiwa nia yako ni kumtia moyo awe bora zaidi, haya si maneno sahihi. Maneno haya humfanya ajihisi kudharauliwa na kupuuzwa.
2. "NIPIGE KAMA WEWE NI MWANAUME KWELI"...
Nina msichana niko kwenye uhusiano nae yapata mwaka wa8 sasa, lakini kwenye maisha ya uhusiano kamili ni miaka6, wa 7 na wa8 imeikuwa ni miaka ambayo changamoto,misukosuko,kugombana na kufikia...
Igweeh!
Nataka nikujibu Kwa ufupi Sana Rafiki yangu Mama Mzungu. Wanaume hawajiamini siku hizi Kwa sababu asilimia 90% walioa Wanawake wasio na Bikra. Ni Bora ujiamini Kwa soda ambayo...
Msione mtu anakesha baa au anajipa safari safari, kuna nyumba nyingine hazikaliki, ndani kwa moto. na sio kua mtu sio mwanaue kamili, la hasha, ila kuna majanga unakutana nayo, ni kama uji wa...
Yani mtu akija kukuambia maswala yake ya kimapenzi ujue tu anataka faraja ya kuwa huyo wanaezinguana nae labda anaweza kubadirika ila ukimwambia ukweli kwa jinsi kete zilivyo unaelekea kuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.