charger
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 2,320
- 1,374
Chama Cha Wapiga Chabo Tanzania(CCWCT) kinawatangazia wapiga chabo na wapenzi wa chabo wote kwamba,kutakua na short course ya wiki mbili ya kupiga chabo.
Katika kozi hiyo mtapata fulsa ya kukutana na wapiga chabo kutoka zambia,china na madagaska ambapo mtajifunza matumizi ya stuli,ngazi na kubebena.
Pia kutakua na mafunzo ya kunyata,matumizi ya jicho moja, kuzuia kikohozi na chafya.
Kozimen atakae sikia tangazo hili amjulishe na mwenzie.