Nachukua fulsa hii kujitokeza katika ukurasa huu kutafuta mchumba later aje kuwa mke.
me me ni mfupi,mweupe wa wastani,mwanafunzi,muislamu
sifa za bibi harusi huyo ziwe kama ifuatavyoo;
1)mwenye mapenzi ya dhati
2)elimu atleast kidato ya nne
3)mwaminiffu
4)dini yeyote
5)kabila lolote
6)mambo ya kuridhiana au kutoridhiana ,,,tutayaongeaaa tukiwa wawili,,,,,,
7)Age awe 18-23
mwenye vigezo ni pm
OVER :mwaaah::mwaaah: